KERO Inashangaza sana: Afisa Elimu adai walimu wanaoomba kuhamia CHAKUHAWATA ni wanaharakati wa vyama pinzani!

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Juzi kati hapo baadhi ya walimu wanaojitambua halmashauri ya Muleba mkoani Kagera walimwendea mkurugenzi kudai haki yao kuhama CWT kwenda CHAKUHAWATA kwenye makato nafuu (elfu 5 tu haijalishi unapokea ngapi tofauti na CWT wanaokataa 2% ya PAYE yako).

Wakiwa ofisini wakiendeleza mazungumzo na mkurugenzi kuwa madai yao yamepelekwa kwa afisa utumishi kwa barua zaidi ya mara 3 lakini hawajasikilizwa wala kujibiwa , ghafla afisa utumishi Secondari (Gerald Mhile a.K.a NGUVU YA BUKU) akaingia ... Mkurugenzi akamshirikisha kuwa suala hili la walimu kulalamika kutoondolewa CWT likoje?

Afisa elimu akadai hao walimu wanaotaka kuhamia Chakuhawata ni wanaharakati yaani vyama pinzani

"Wanafadhiliwa na CHADEMA na CUF kuendeleza harakati zao" afisa elimu

So mkurugenzi asisumbuke nao kuwasikiliza kwani hakuna chama kinachoweza kujiendesha kwa Elf 5 .

Nikili kusema nimeshangaa na kuchefukwa sana kwa kauli mbovu na mbaya kutoka kwa kiongozi anayetegemewa kutetea walimu wake wapate haki yao, lakini kumbe ni ndiye mdidimizaji wa haki za walimu. Tanzania ofisi nyingi zimekuwa zikijiendesha kisiasa sana, afisa elimu yupo kwa ajili ya kuendeleza siasa za kizamani na kikoloni kwenye karne hii.

Mbona kwenye suala la taaluma tunajitoa kufaulisha na kumuondolea zero

Mbona sisi zaidi ya walimu 1000 ndani ya wilaya tumemuunga mkono kwenye suala lake la NGUVU YA BUKU ambao ni mchango wa kumuchangia mwalimu mwenzetu anapofiwa na mzazi au ndani ya familia yake bila kinyongo .

Walimu mnaojitambua shitukeni uyo mtu yupo kuendeleza agenda zisizo na msingi kwenye mambo ya msingi.
Iweje yeye kumbe ana propaganda za enzi za kikoloni ndani ya taasisi ya kielimu ambayo kimwongozo haitakiwi kujihusisha kisiasa kwa namna yoyote ile .

Mkurugenzi alikuwa tayari kutusikiliza na kuyafanyia kazi madai yetu ingawa naye kwa shingo upande , shida imekuwa kubwa baada ya uyu NGUVU YA BUKU kuingia.

Rai yangu kwa wafanyakazi wanaojitambua tuna aina nyingi za viongozi wa aina hii kwenye taasisi nyingi wakiendeleza u-CCM na huku wakiwadidimiza watumishi wao na kuwafanya vipofu na mazezeta kwa masirahi yao maovu.

Kiongozi wa aina iyo hatakiwi kuwepo ofisini anaonyesha ameshiba so akae pembeni awapishe wanaoweza kusaidia wenye uhitaji.

Jamii Forums na mitandao mingine ya kijamii tunaomba mtupaazie sauti kadri inavyowezekana .
 
Haya Maalimu sindo yanaiba kura kila siku. Si mna hela nyie mpk mnamchangia Rais hela ya formu ya kugombea 2025.

Shenzi kabisa..

Karma exists, Wacha yakome tu na tena hiyo 2% ipande mpk 5%
 
Nimeandika nimefuta,nimeandika nimefuta,Nikaandika tena nikafuta[emoji24]
Labda kwa ufupi tu.
Siwt ni mfupa mgumu.......
 
Duuu wahusika mfikishieni taarifa mlengwa maana naona mawe yamerushwa gizani huku
 
Poleni sana ndugu. Hao CWT wameshupaza shingo.... Na huyo Afisa Elimu wenu atakuwa ameshaingizwa kwenye Payroll ya SIWATIIIIIIIII. Wenzenu huku tupo huru tangu mwaka jana 2023 Septemba.
 
Haya Maalimu sindo yanaiba kura kila siku. Si mna hela nyie mpk mnamchangia Rais hela ya formu ya kugombea 2025.

Shenzi kabisa..

Karma exists, Wacha yakome tu na tena hiyo 2% ipande mpk 5%
Mimi Ni mwalimu na nishasimamia uchaguzi si Mara moja sijui Kira zinaibiwaje sababu mbona Mimi sijawai ambiwa tuibe Kura au kuona Kura zikiibiwa....MNATUONEA SANA
 
Juzi kati hapo baadhi ya walimu wanaojitambua halmashauri ya Muleba mkoani Kagera walimwendea mkurugenzi kudai haki yao kuhama CWT kwenda CHAKUHAWATA kwenye makato nafuu (elfu 5 tu haijalishi unapokea ngapi tofauti na CWT wanaokataa 2% ya PAYE yako).

Wakiwa ofisini wakiendeleza mazungumzo na mkurugenzi kuwa madai yao yamepelekwa kwa afisa utumishi kwa barua zaidi ya mara 3 lakini hawajasikilizwa wala kujibiwa , ghafla afisa utumishi Secondari (Gerald Mhile a.K.a NGUVU YA BUKU) akaingia ... Mkurugenzi akamshirikisha kuwa suala hili la walimu kulalamika kutoondolewa CWT likoje?

Afisa elimu akadai hao walimu wanaotaka kuhamia Chakuhawata ni wanaharakati yaani vyama pinzani

"Wanafadhiliwa na CHADEMA na CUF kuendeleza harakati zao" afisa elimu

So mkurugenzi asisumbuke nao kuwasikiliza kwani hakuna chama kinachoweza kujiendesha kwa Elf 5 .

Nikili kusema nimeshangaa na kuchefukwa sana kwa kauli mbovu na mbaya kutoka kwa kiongozi anayetegemewa kutetea walimu wake wapate haki yao, lakini kumbe ni ndiye mdidimizaji wa haki za walimu. Tanzania ofisi nyingi zimekuwa zikijiendesha kisiasa sana, afisa elimu yupo kwa ajili ya kuendeleza siasa za kizamani na kikoloni kwenye karne hii.

Mbona kwenye suala la taaluma tunajitoa kufaulisha na kumuondolea zero

Mbona sisi zaidi ya walimu 1000 ndani ya wilaya tumemuunga mkono kwenye suala lake la NGUVU YA BUKU ambao ni mchango wa kumuchangia mwalimu mwenzetu anapofiwa na mzazi au ndani ya familia yake bila kinyongo .

Walimu mnaojitambua shitukeni uyo mtu yupo kuendeleza agenda zisizo na msingi kwenye mambo ya msingi.
Iweje yeye kumbe ana propaganda za enzi za kikoloni ndani ya taasisi ya kielimu ambayo kimwongozo haitakiwi kujihusisha kisiasa kwa namna yoyote ile .

Mkurugenzi alikuwa tayari kutusikiliza na kuyafanyia kazi madai yetu ingawa naye kwa shingo upande , shida imekuwa kubwa baada ya uyu NGUVU YA BUKU kuingia.

Rai yangu kwa wafanyakazi wanaojitambua tuna aina nyingi za viongozi wa aina hii kwenye taasisi nyingi wakiendeleza u-CCM na huku wakiwadidimiza watumishi wao na kuwafanya vipofu na mazezeta kwa masirahi yao maovu.

Kiongozi wa aina iyo hatakiwi kuwepo ofisini anaonyesha ameshiba so akae pembeni awapishe wanaoweza kusaidia wenye uhitaji.

Jamii Forums na mitandao mingine ya kijamii tunaomba mtupaazie sauti kadri inavyowezekana .
Huyo afisa elimu ni mbwa mkubwa sana! Watu wataka haki Yao yeye anasema ni wapinzani? Takataka kabisa huyu!
 
Kwani cwt ni chama cha serikali ya ccm? Hata kama ni hivyo, wasiopendezwa na huduma ya cwt wanatakiwa kulazimishwa kubaki chamani? CHAKUWAHATA wana makato madogo yani 5k kwa mwezi. Wakati cwt kama sikosei (walimu watanirekebisha) wanakata 2% ya mshahara. Makato yanaongezeka Kulingana na daraja alilopo mwalimu. Mfano kuna mwalimu anakatwa 15k na mwingine anakatwa 26k. Yani utadhani baadhi ya walimu wananufaika sana na cwt hivyo wakatwe pakubwa na wengine wananufaika kidogo hivyo wanakatwa kiasi kidogo.

Hakuna haja ya kulazimishwa kubaki cwt. Cwt wangeboresha. Yani wapunguze makato halafu iwe flat. Kwa mfano kama ni 10k, basi kila mwalimu awe anakatwa kiasi sawa na mwenzake.

CHAKUWAHATA wameanza na 5k, kwa makadrio hata hapo mbeleni wakiongeza makato, hayatazidi 10k. Kwa haya makato, cwt wategemee wimbi kubwa la walimu kuhamia CHAKUWAHATA.
 
Cwt ni chama cha kihuni sana
 
Hivyo vyama vyote havina tofauti na mitume na manabii wa kizazi hiki..ni upigani tu na havina tija yoyote kwa wanachama wake
 
Back
Top Bottom