Inashangaza sana! Rasilimali za taifa zimetoroshwa, ruby ya bil 276 imetoroshewa Dubai Mkuu wa nchi yupo kimya kama vile ni jambo dogo

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Kwa namna hali ilivyo nilitegemea mkuu wa nchi awe amekemea na kumpa Dotto Biteko Ultimatum.

Yupo busy tu na kuwapongeza waliochangia Royal tour kimchongo.

Utoroshwaji wa rasilimali za umma unarudisha maendeleo ya taifa letu.

Kama mkuu wa nchi hakemei suala kama hili basi tumepotea njia.
 
Yupo busy tu na kuwapongeza waliochangia Royal tour kimchongo..

Una uhakika wa moja kwa moja kuwa ile ruby ni yetu?
 
Hatujaanza kupigwa leo. Awamu iliy kodi ilitia fora na kuvunja rekodi kwa wizi wa matrilion ya walipa kodi.

Wewe mleta mada na wenzako mlikuwa mkishangilia sana awamya jiwe. Sasa hivi mmeminywa na kubanwa kaynday kila kukicha nikulialia tu na kumchukia mama.

Tumeshazoea kupigwa na kugongewa mademzetu. Ni hali ya kawaida tu. Kikubwa mkono kwenda kinywan na miti
Wewe mpuuzi wa Jf unajua nini cha maana humu duniani? Kaa kimya.
 
Kwa namna hali ilivyo nilitegemea mkuu wa nchi awe amekemea na kumpa Dotto Biteko Ultimatum.

Yupo busy tu na kuwapongeza waliochangia Royal tour kimchongo..

Utoroshwaji wa rasilimali za umma unarudisha maendeleo ya taifa letu.

Kama mkuu wa nchi hakemei suala kama hili basi tumepotea njia.
Umekurupuka mkuu!

Unamlaumu Dotto Biteko kwa lipi?

Hiyo Ruby na mawe mengine yako zaidi ya 28.

Walionayo ni wamarekani ambao wamethibitisha kuwa nayo huko Marekani kwa sasa ikiwemo na hilo la Dubai kwa sasa.

Utoroshaji ulifanyika miaka 11 iliyopita.
Hii ni kwa mujibu wa mtoroshaji mwenyewe.

Biteko kama waziri wa serikali na wizara husika.
Yuko kwenye mazungumzo kwa sasa ili kujiridhisha kama kweli yametokea Tanzania.

Sasa unachomlaumu sio sahihi.

Bali ungemlaumu mama yenu kwa kukaa kimya huko Marekani kwa muda wote aliokuwepo huko.

Bila kuzitaka mamlaka za Marekani kumsaidia ili tuujuwe ukweli.
 
Nikitafakari ile shehena ya pembe za ndovu niliyoiona kwenye filamu imekaa tu inaoza ghalani, itoshe kusema nchi hii haijui matumizi ya hizo mnaita rasilimali.
Kwa hiyo unataka iuzwe ili mzitafune zote?
 
Nikitafakari ile shehena ya pembe za ndovu niliyoiona kwenye filamu imekaa tu inaoza ghalani, itoshe kusema nchi hii haijui matumizi ya hizo mnaita rasilimali.
Sasa si uwamobilize kina Joe makini na lord eyes wachangamkie hizo fursa za rasilimali?
 
Umekurupuka mkuu!

Unamlaumu Dotto Biteko kwa lipi?

Hiyo Ruby na mawe mengine yako zaidi ya 28.

Walionayo ni wamarekani ambao wamethibitisha kuwa nayo huko Marekani kwa sasa ikiwemo na hilo la Dubai kwa sasa.

Utoroshaji ulifanyika miaka 11 iliyopita.
Hii ni kwa mujibu wa mtoroshaji mwenyewe.

Biteko kama waziri wa serikali na wizara husika.
Yuko kwenye mazungumzo kwa sasa ili kujiridhisha kama kweli yametokea Tanzania.

Sasa unachomlaumu sio sahihi.

Bali ungemlaumu mama yenu kwa kukaa kimya huko Marekani kwa muda wote aliokuwepo huko.

Bila kuzitaka mamlaka za Marekani kumsaidia ili tuujuwe ukweli.
Nimekusoma mkuu. Sijamlaumu Dotto bali mama kama kiongozi makini alipaswa kumkazania Dotto kumaliza hili suala. Mama hayupo serious kulinda mali za taifa . Hajasema lolote.
 
Kwa namna hali ilivyo nilitegemea mkuu wa nchi awe amekemea na kumpa Dotto Biteko Ultimatum.

Yupo busy tu na kuwapongeza waliochangia Royal tour kimchongo..

Utoroshwaji wa rasilimali za umma unarudisha maendeleo ya taifa letu.

Kama mkuu wa nchi hakemei suala kama hili basi tumepotea njia.
we mdedm Ipo siku utataka rais aingilie mgogor6 wa ndoa yako utakapotimuliwa na mumeo! Una gubu sana mwanamke wewe
 
Kwa namna hali ilivyo nilitegemea mkuu wa nchi awe amekemea na kumpa Dotto Biteko Ultimatum.

Yupo busy tu na kuwapongeza waliochangia Royal tour kimchongo.

Utoroshwaji wa rasilimali za umma unarudisha maendeleo ya taifa letu.

Kama mkuu wa nchi hakemei suala kama hili basi tumepotea njia.

Samia comes across as someone who is laid back and does not take serious issues seriously!! Any serious head of state would shy away from getting closer to ROSTAM AZIZ because of his past history of having been an architect of rampant fraud!! Unfortunately, her chief advisor [ Kikwete] belongs to the same gang of looters.
 
Samia comes across as someone who is laid back and does not take serious issues seriously!! Any serious head of state would shy away from getting closer to ROSRAM AZIZ because of his past history of having been an architect of rampant fraud!! Unfortunately, her chief advisor [ Kikwete] belongs to the same gang of looters.
Mkuu hii ilitakiwa iwe kwa kiswahili.
 
Back
Top Bottom