Inashangaza sana! Rasilimali za taifa zimetoroshwa, ruby ya bil 276 imetoroshewa Dubai Mkuu wa nchi yupo kimya kama vile ni jambo dogo

Inashangaza sana! Rasilimali za taifa zimetoroshwa, ruby ya bil 276 imetoroshewa Dubai Mkuu wa nchi yupo kimya kama vile ni jambo dogo

Hahaha laiti ungenijua usingenidharau kiasi hicho. Ni kutonye tu kidogo Ninatumika na Washington, London Brussels na kyiv kama middle man kuingiza silaha Ukraine.
Labda Ukraine ya Chato
 
Sasa si uwamobilize kina Joe makini na lord eyes wachangamkie hizo fursa za rasilimali?

Ni kina nani hao? Nahitaji hizo silaha unazopeleka Ukraine nizitumie na jeshi langu, utanishukuru milele.
 
Hahaha laiti ungenijua usingenidharau kiasi hicho. Ni kutonye tu kidogo Ninatumika na Washington, London Brussels na kyiv kama middle man kuingiza silaha Ukraine.

Kupata vichekesho vingi kama hivi huwa unabonyeza ngapi?

We chalii ni katuni mcheshi mno.[emoji16][emoji16][emoji16]
 
S Gang ni wapuuzi wa mwisho wasiofaa, Kongole kwake aliyeliondoa lile kuu lao, hawa watu walikuwa wanaleta vita nchini! Will always remember 17th, March 2021! BTW huyo Dotto ni kijana pendwa wa Dikteta
 
Nini kifanyike sasa,maana nchi ni ugali wa upigaji

Ova
 
Taifa linaanzia kwa raia mmoja mmoja. Kila mwananchi ana wajibu wa kulinda raslimali za taifa, hivyo kulaumu viongozi tu badala ya kushauri nini kifanyike kuboresha hali hiyo siyo sawa hata kidogo.
Hata hivyo, taratibu zilizopo za serikali kudhibiti bila kuwashirikisha wadau (wachimbaji) moja kwa moja ndiyo tatizo.
Wadau washirikishwe udhibiti, serikali ikusanye kodi.
Utoroshaji husababishwa na ile hali ya serikali kuonekana mnyang'anyi badala ya mlinzi na msaidizi mwema.
 
Kwa namna hali ilivyo nilitegemea mkuu wa nchi awe amekemea na kumpa Dotto Biteko Ultimatum.

Yupo busy tu na kuwapongeza waliochangia Royal tour kimchongo.

Utoroshwaji wa rasilimali za umma unarudisha maendeleo ya taifa letu.

Kama mkuu wa nchi hakemei suala kama hili basi tumepotea njia.
Chuki za kishamba zinawasumbua sana baadhi ya watanzania. Unao uhakika na ushahidi kwamba huo mzigo wa Dubai ni mali ya Tanzania kwa asilimia 100?. Unao ushahidi kwamba mzigo uliondoka nchini awamu ya Samia?.

Kwa taarifa za waziri mzigo uliondoka miaka 11 iliyopita, enzi za JK. Tupunguze nongwa za kipumbavu kama tunataka kuleta mchango chanya kwa taifa letu.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Samia comes across as someone who is laid back and does not take serious issues seriously!! Any serious head of state would shy away from getting closer to ROSTAM AZIZ because of his past history of having been an architect of rampant fraud!! Unfortunately, her chief advisor [ Kikwete] belongs to the same gang of looters.
Unamlaumu Rostam kwa habari zisizo na uhakika, unamjua upande wake mwingine kama mfanyabiashara mkubwa?.

Umejazwa ujinga ukaupokea na kuufanya kuwa ni habari ya kweli na sahihi.
 
Exactly [emoji817]
 
Unamlaumu Rostam kwa habari zisizo na uhakika, unamjua upande wake mwingine kama mfanyabiashara mkubwa?.

Umejazwa ujinga ukaupokea na kuufanya kuwa ni habari ya kweli na sahihi.
Upumbavu ni mzigo. Umezaliwa mpumbavu hakuna namna ya kukukwamua.
 
Kwa namna hali ilivyo nilitegemea mkuu wa nchi awe amekemea na kumpa Dotto Biteko Ultimatum.

Yupo busy tu na kuwapongeza waliochangia Royal tour kimchongo.

Utoroshwaji wa rasilimali za umma unarudisha maendeleo ya taifa letu.

Kama mkuu wa nchi hakemei suala kama hili basi tumepotea njia.
Sukuma gang mna kazi Sana ...mnajisababishia presha na kisukari Bure tu..
 
Kwani kaka kati ya mchimbaji na watanzania nani mmiliki halali wa hiyo ruby??

ngoja uone mchimbaji anaingia shimoni(hapa ana sacrifice maisha yake) analipua baruti anatoa mzigo analipa mrabaha kwa wizara husika pamoja na tozo nyingine kisha anajibebea mali yake...

Binafsi sina interest na madini ila naona kama unaleta uchonganishi lakini pia inaonekana haupo kwenye hii tasnia ya madini ila wewe ni mwanasiasa tu

Hao watz unaowaeleza haya nao wakachimbe kama ni rahisi.
 
Back
Top Bottom