Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
REPORT ya CAG Yenye UFISADI wa KUTISHA Kila Mtu yupo KIMYAAA hii ndio TANZANIA MPYAKwa namna hali ilivyo nilitegemea mkuu wa nchi awe amekemea na kumpa Dotto Biteko Ultimatum.
Yupo busy tu na kuwapongeza waliochangia Royal tour kimchongo.
Utoroshwaji wa rasilimali za umma unarudisha maendeleo ya taifa letu.
Kama mkuu wa nchi hakemei suala kama hili basi tumepotea njia.