mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,773
- 2,183
Wakati inatoroshwa mwaka 2020 JPM alikuwa wapi? Anzia hapo kwanza!Kwa namna hali ilivyo nilitegemea mkuu wa nchi awe amekemea na kumpa Dotto Biteko Ultimatum.
Yupo busy tu na kuwapongeza waliochangia Royal tour kimchongo.
Utoroshwaji wa rasilimali za umma unarudisha maendeleo ya taifa letu.
Kama mkuu wa nchi hakemei suala kama hili basi tumepotea njia.