DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Nyie mnaumlaumu Mama Samia Ni wapumbavu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda Ukraine ya ChatoHahaha laiti ungenijua usingenidharau kiasi hicho. Ni kutonye tu kidogo Ninatumika na Washington, London Brussels na kyiv kama middle man kuingiza silaha Ukraine.
Kazikwe na Magufuli usituletee Upumbavu wako .Nonsensical post
StupidKazikwe na Magufuli usituletee Upumbavu wako .
Sasa si uwamobilize kina Joe makini na lord eyes wachangamkie hizo fursa za rasilimali?
Hahaha laiti ungenijua usingenidharau kiasi hicho. Ni kutonye tu kidogo Ninatumika na Washington, London Brussels na kyiv kama middle man kuingiza silaha Ukraine.
Hata kama ni yetu....haina thamani hyo...wapigaji wa dunia wanataka kupiga hela tu hapo...hamna zaidi ya hiloUna uhakika wa moja kwa moja kuwa ile ruby ni yetu?
Are you sure prostitute?Certified fool, that's what you are.
Not silly yes imetoka Tanzania angalia muda ilipotoroshwa till to date. Kuna a lot of information to be gathered kabla hujakurupuka na kutoa matamko.Silly question
Chuki za kishamba zinawasumbua sana baadhi ya watanzania. Unao uhakika na ushahidi kwamba huo mzigo wa Dubai ni mali ya Tanzania kwa asilimia 100?. Unao ushahidi kwamba mzigo uliondoka nchini awamu ya Samia?.Kwa namna hali ilivyo nilitegemea mkuu wa nchi awe amekemea na kumpa Dotto Biteko Ultimatum.
Yupo busy tu na kuwapongeza waliochangia Royal tour kimchongo.
Utoroshwaji wa rasilimali za umma unarudisha maendeleo ya taifa letu.
Kama mkuu wa nchi hakemei suala kama hili basi tumepotea njia.
Unamlaumu Rostam kwa habari zisizo na uhakika, unamjua upande wake mwingine kama mfanyabiashara mkubwa?.Samia comes across as someone who is laid back and does not take serious issues seriously!! Any serious head of state would shy away from getting closer to ROSTAM AZIZ because of his past history of having been an architect of rampant fraud!! Unfortunately, her chief advisor [ Kikwete] belongs to the same gang of looters.
Exactly [emoji817]Samia comes across as someone who is laid back and does not take serious issues seriously!! Any serious head of state would shy away from getting closer to ROSTAM AZIZ because of his past history of having been an architect of rampant fraud!! Unfortunately, her chief advisor [ Kikwete] belongs to the same gang of looters.
Wewe ni mpumbazwa sana!Nyie mnaumlaumu Mama Samia Ni wapumbavu sana
Upumbavu ni mzigo. Umezaliwa mpumbavu hakuna namna ya kukukwamua.Unamlaumu Rostam kwa habari zisizo na uhakika, unamjua upande wake mwingine kama mfanyabiashara mkubwa?.
Umejazwa ujinga ukaupokea na kuufanya kuwa ni habari ya kweli na sahihi.
Sukuma gang mna kazi Sana ...mnajisababishia presha na kisukari Bure tu..Kwa namna hali ilivyo nilitegemea mkuu wa nchi awe amekemea na kumpa Dotto Biteko Ultimatum.
Yupo busy tu na kuwapongeza waliochangia Royal tour kimchongo.
Utoroshwaji wa rasilimali za umma unarudisha maendeleo ya taifa letu.
Kama mkuu wa nchi hakemei suala kama hili basi tumepotea njia.
Wanahusika vipi?Sukuma gang mna kazi Sana ...mnajisababishia presha na kisukari Bure tu..