Bruno Toto
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 477
- 546
Ukiwa CCM hata ukiacha kuingia kazini hakuna shidaMiaka ya 2000 mwanzoni ilitoka sera sijui sheria, ukiwa mwajiriwa ukaamua kuonesha nia kazi unaondolewa.
Namkumbuka dada roz pale mbeya aliingia kugombea kupitia cuf kazi ikaishia na ubunge kakosa.
Labda wamepunguza makali
"Mnapochagua muangalie ... Kwani hili jimbo mbunge ni wa chama gani?" CCMMMMMMMakonda Yupo Kigamboni Anaangaika Tu Halafu, Uwa Namwangalia Mtumbuaji Namuona Kama Hajielewi Hivi.
Kashanyamazishwa na pole poleHivi Makonda ameishaomba ruksa?
Haya mambo CCM wenyewe ndio walioyaharibu. Utaona Waziri anakwenda kwenye kampeni zake binafsi anatumia gari ya Waziri ambayo huduma zake zinalipiwa na wananchi walipa kodi. Wateuzi wa rais wanakwenda kwenye mikutano ya siasa CCM haina uhusiano wowote nanutendaji wao lakini bado wanatumia fursa walizopewa na serikali ambazo hulipiwa na walipa kodi.Kuacha majukumu yako kama Dc au DED na kuanza kampeni huku wanachi wanakosa watu wa kutatua kero zao huko ni kuomba ruhusa!
Si kuna wasaidizi watakaimu, ruhusa wanaomba ni kama kipindi cha zile wiki mbili au tatu za kura ya maoni. Hawaombi likizo ya ma miezi kadhaa.Sasa wakati wewe umeomba ruhusa huku nyuma kazi zako afanye nani? Serikali hii umeshaambiwa kauli mbiu yake ni HAPA KAZI TU, sasa unadhani wananchi kero Zao zitatatuliwa na nani wakati wewe haupo? Usifananishe sijui na mwaka 1985 au sijui serikali zilizopita, kila Rais ana mikakati yake ya kuendesha serikali, ukiomba ruhusa tunakupa mkono wa kwaheri, wengine waje waendeleze gurudumu, sasa we unataka kipindi uko kwenye kampeni nani afanye kazi zako?
Du![emoji3061][emoji3061][emoji1787][emoji1787]Typing error. Do not mind. Watu wanaomba. Ujue nilipata A ya kiswahili form four.
Ni double standards sasa, kumbe kuna wakubwa na kampeni wameanza ?Au wao ni vile hawajaomba ruksa ndo maana wanatesa tu?Haya mambo CCM wenyewe ndio walioyaharibu. Utaona Waziri anakwenda kwenye kampeni zake binafsi anatumia gari ya Waziri ambayo huduma zake zinalipiwa na wananchi walipa kodi. Wateuzi wa rais wanakwenda kwenye mikutano ya siasa CCM haina uhusiano wowote nanutendaji wao lakini bado wanatumia fursa walizopewa na serikali ambazo hulipiwa na walipa kodi.
Sheria ziko wazi lakini wavunjaji sheria ni wao wenyewe. Ifike wakati tuheshimu sheria tulizojiwekea wenyewe. Kutoheshimu sheria ndiko kunakopelekea kuzidi vitendo vya rushwa na ubadhirifu wa mali za umma. Kwa maana hiyo ni kuikosesha serikali mapato na kudumiza wananchi kwenye janga la umasikini!!
Ha ha ha !Yure muruke... Yure mupe......!!!!
Kwani MHESHIMIWA Rais anatokea katika shughuli ipi mkuu?Acheni tamaa wengine hawana ajira bado mnawazongazonga mtaka yote hukosa yote. Hii inaonyesha wazi kwamba mnafanya kazi ambazo.
Sio profession zenu. Wewe ni mwalimu alafu unataka siasa basi ualimu sio profession yako unaganga njaa tu alafu unalaumu.
Riwaya ilikubeba VictoireTyping error. Do not mind. Watu wanaomba. Ujue nilipata A ya kiswahili form four.
Duh!.. kugombea imekua kama kujitoa muhanga sasa.Hivyo ndivyo ilivyo hapa TZ. Ukiomba kugombea cheo chochote cha kisiasa basi utumishi wako unakoma hapohapo. Ukishindwa kuchaguliwa imekula kwako. Sheria mbaya sana ise!