Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Ni katikati ya Mkutano wa Wanawake wa BAWACHA , anapewa nafasi ya kuzungumza Mke wa Marehemu.
Mjane wa watoto Wanne, anakiri Mumewe kuuwawa na Jeshi la Polisi Kwa kufyatuliwa Risasi nne mbele ya macho yake na mbele ya watoto wake.
Mjane anahoji, Angekua ni Rais Samia ameuliwa Mume wake, angefanya nn?.
Mahakaman nako hakueleweki, Mjane anazungushwa juu ya haki zake.
Polisi nao wakadai walimuua Kwa bahati mbaya Et waliitwa kutuliza Fujo kwenye mkutano wa CCM ambako Mgombea wa CHADEMA alienda kufanya fujo.
Unaweza jiuliza Wakati gan Polisi wanatakiwa kufuatia Risasi?.
Mkutano wa Usiku wa Manane saa nane usiku ?.
Mke wa Marehem zaidi anasema Polisi walienda kuokota maganda ya Risasi nyumban kwake.
ITOSHE KUSEMA, NCHI HII INAMUHITAJI TUNDU A LISSU.
HUWEZI KUMUUA MTU NA KUITOA NAFSI YAKE KIZEMBE ZEMBE NAMNA HII.
KUKOSEKANA KWA VIONGOZI WENYE HAKI, NDIKO KUMEENDELEA KUWAPOTEZA AKINA SOKA, MZEE KIBAO N.K
Inawezekana kabisa kabisa Ndani ya Mfumo kumejazwa watu wajinga, wenye Vyeti vya kuunga uunga ambao weledi wao unaishia kwenye Fikiria za Hovyo na za zaman za kijeshi.