Inasikitisha Inaliza, inaumiza, Video ya Mke wa Mgombea Uenyekiti CHADEMA Akisimulia Jinsi Polisi walivyomuua Mumewe Kwa Risasi usiku wa Manane!!.

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Ni katikati ya Mkutano wa Wanawake wa BAWACHA , anapewa nafasi ya kuzungumza Mke wa Marehemu.

Mjane wa watoto Wanne, anakiri Mumewe kuuwawa na Jeshi la Polisi Kwa kufyatuliwa Risasi nne mbele ya macho yake na mbele ya watoto wake.

Mjane anahoji, Angekua ni Rais Samia ameuliwa Mume wake, angefanya nn?.

Mahakaman nako hakueleweki, Mjane anazungushwa juu ya haki zake.

Polisi nao wakadai walimuua Kwa bahati mbaya Et waliitwa kutuliza Fujo kwenye mkutano wa CCM ambako Mgombea wa CHADEMA alienda kufanya fujo.

Unaweza jiuliza Wakati gan Polisi wanatakiwa kufuatia Risasi?.

Mkutano wa Usiku wa Manane saa nane usiku ?.

Mke wa Marehem zaidi anasema Polisi walienda kuokota maganda ya Risasi nyumban kwake.

ITOSHE KUSEMA, NCHI HII INAMUHITAJI TUNDU A LISSU.
HUWEZI KUMUUA MTU NA KUITOA NAFSI YAKE KIZEMBE ZEMBE NAMNA HII.

KUKOSEKANA KWA VIONGOZI WENYE HAKI, NDIKO KUMEENDELEA KUWAPOTEZA AKINA SOKA, MZEE KIBAO N.K

Inawezekana kabisa kabisa Ndani ya Mfumo kumejazwa watu wajinga, wenye Vyeti vya kuunga uunga ambao weledi wao unaishia kwenye Fikiria za Hovyo na za zaman za kijeshi.

View: https://youtu.be/C7OSpm1asDY?si=gw5F25pMlGhBEURm

Machungu yalimjaa moyoni.
 
Aseee Siamini kama huyu Mwanamke ametunga anachoongeaa..ila kuna uwezekano mkubwa ni kweli. Ila tusisahau kuna Mungu.. Pamoja na yote wote tupo sawa mbele ya macho ya Mungu...
 
Ni muhimu kujilinda
FB_IMG_17414387622553302.jpg
 
Ni katikati ya Mkutano wa Wanawake wa BAWACHA , anapewa nafasi ya kuzungumza Mke wa Marehemu.

Mjane wa watoto Wanne, anakiri Mumewe kuuwawa na Jeshi la Polisi Kwa kufyatuliwa Risasi nne mbele ya macho yake na mbele ya watoto wake.

Mjane anahoji, Angekua ni Rais Samia ameuliwa Mume wake, angefanya nn?.

Mahakaman nako hakueleweki, Mjane anazungushwa juu ya haki zake.

Polisi nao wakadai walimuua Kwa bahati mbaya Et waliitwa kutuliza Fujo kwenye mkutano wa CCM ambako Mgombea wa CHADEMA alienda kufanya fujo.

Unaweza jiuliza Wakati gan Polisi wanatakiwa kufuatia Risasi?.

Mkutano wa Usiku wa Manane saa nane usiku ?.

Mke wa Marehem zaidi anasema Polisi walienda kuokota maganda ya Risasi nyumban kwake.

ITOSHE KUSEMA, NCHI HII INAMUHITAJI TUNDU A LISSU.
HUWEZI KUMUUA MTU NA KUITOA NAFSI YAKE KIZEMBE ZEMBE NAMNA HII.

KUKOSEKANA KWA VIONGOZI WENYE HAKI, NDIKO KUMEENDELEA KUWAPOTEZA AKINA SOKA, MZEE KIBAO N.K

Inawezekana kabisa kabisa Ndani ya Mfumo kumejazwa watu wajinga, wenye Vyeti vya kuunga uunga ambao weledi wao unaishia kwenye Fikiria za Hovyo na za zaman za kijeshi.

Saa nane za usiku,mume wake yuko nje ya nyumba yake,amewaacha mke na,watoto,unakwenda kwenye siasa,huyu mke aeleze ukweli.
 
Aseee Siamini kama huyu Mwanamke ametunga anachoongeaa..ila kuna uwezekano mkubwa ni kweli. Ila tusisahau kuna Mungu.. Pamoja na yote wote tupo sawa mbele ya macho ya Mungu...
Saa nane za usiku,unakwendz,kwenye siasa,unaacha watoto na mke nyumbani,peke yao,halafu unakwenda fanya fujo.
 
Huyu mama yeye apambane alee watoto wake nina hakika Mungu hatamuacha peke yake atafanikiwa tu. Kikubwa aamini tu Mungu atamsaidia japokuwa ni ngumu sana kusahau kwa kuwa aliona mumewe akiuliwa mbele yake hiyo picha itakuwa inamrudia mara kwa mara.

Kwa sisi tuliowahi kushuhudia nguvu za Mungu anapoamua kumuadhibu mbaya wako tunajua kabisa ni suala la muda na ikimpendeza Mungu huyo mama anaweza kuwaona au kusikia jinsi watesi wake wanavyopata kibano. Yeye aamini tu kisasi ni cha Mungu na ampe Mungu hiyo nafasi ili Mungu mwenyewe aamue atalipa vipi hicho kisasi kadiri ataqkavyoona.
 
Back
Top Bottom