Inasikitisha kanisa katolilki nalo limeingia kwenye kundi la makanisa ya mchongo; ushahidi huuu hapa!

Kuna mtu amekutuma kwenda kwa mwamposa?

Wewe na akili zako timamu ulifuata nini huko?

Ulishikiwa bunduki?

Acha ujinga na utoto
 
Hayo mashule, hospitali na vyuo watu wanasoma na kutibiwa bure mkuu? Na je pesa wanazotuma Roma kwa mabeberu zina manufaa gani kwa watoa sadaka? Think twice mkuu. Otherwise utaendelea kukamuliwa hadi Yesu wa kweli atakaporudi.
Kwani kuna mtu analazimishwa kutoa sadaka kanisani?

Ukiendelea na mambo yako nani anKufuata kukulazimisha kwenda kutoa sadaka

Kama sadaka inakuumia acha wenye pesa wakatoe sadaka zao

Hata waislamu siku ya kuchinja kwani nani amekulazimisha kuchinja mbuzi au kondoo ,Ukiacha kuchinja nani atakufuata?

Mkuu wewe haupo sawa ,Umeenda mwenyewe kutoa sadaka unakuja hapa kulalamika
 
Uko sahihi mkuu. Pesa za miradi hiyo inasaidia nn ktk parokia husika? Sisi Parokian kwetu tulichanga kaya kwa kaya kujenga shule ya Parokia. Tukiambiwa n mradi mzuri utasaidia kupunguza michango kwetu na kusaidia baadhi ya kaya maskini walau kila jumuiya mtoto mmoja kusoma bure.

Shule imekwisha inafanya vzr na inawanafunz wengi, michango ipo pale pale; ujenzi hata wa kibanda cha mlinzi tulichanga. Ama matengenezo ya magari ya parokia ni budget toka ktk sadaka. Mpaka leo hatupewi taarifa ya pesa ya shule inatumikaje.

Ni upotofu wako tu. Kanisa Katoliki lina maelfu kwa maelfu ya shule, vyuo, vyuo vikuu, mahospitali, nyumba za yatima, wazee, mabenki, na mengine tele tele. Huwezi kamwe kufananisha Katoliki na Mwamposa labda uwe mwehu!

O sqh
 
Sisi Parokian kwetu tuliadhimia kuwa na miradi miwili ktk kuongeza kipato na kupunguza michango kwetu waamini.



Mradi wa kwanza fremu, zikajengwa fremu 25 nzuri kubwa kuzunguka eneo la kanisa. Wapangaji wakapanga zote.



Mradi wa pili shule ya msingi. Tulichanga kwa jasho na damu. Kaya kwa kaya hata 2000 ulipaswa kuchanga. Miaka 5 tumechanga. Ahadi ile ile Kama ya fremu, na nyongeza baadhi ya watoto toka kaya maskini ktk jumuiya zetu watasoma bure, na wengine kupunguziwa ada.

Shule imeisha na wanafunzi wa kutosha kwani inafanya vzr ktk matokeo.



Cha kusikitisha michango ipo pale pale, hakuna punguzo wala kusaidia kaya maskini.



Nashauri shika imani yako sio dhehebu. Mbinguni hatuendi kwa kuwa KKKT ama Mkatoliki
 
Hahhahaa....
 
Shule hainaga faida kivile kama mnavyofikiria
 

Kwa sababu ya hiyo picha? Nani ameitengeneza?

Tusihukumu maana tutahukumiwa. Kipimo kile kile tunachotumia kuhukumu wenzetu, ndicho kitatumiwa kwetu pia.

Kanisa lisingekuwepo mpaka leo hii kama wangeendekeza hizi hoja za rejareja. Haziwezi kuliua kanisa
 
Mnavyohoji pesa za kanisa, mngekua mbatumia nguvu hii kuhoji pesa za mikopo tunayokopa na tunavyotumia pamoja kudemand accountability tungekua mbali kama nchi.

Najiuliza swali; tunalazimishwa kumpenda Mungu? Tunalazimishwa kutoa sadaka? Unatoaje sadaka ikiwa nafsi hairidhiki ukiamini inaenda kuwanufaisha wazungu au mzee wa rise and shine?
 
W
Wwe ndiye ulikuwa hufahamu. Lakini kwa masuala ya Imani ya Kweli ya Kikristo Kanisa Katoliki limepotoka siku nyingi sana. Ndio maana akina Martin Luta walipinga mafundisho potofu ya R C. Hata hao unaowata manabii feki ufeki wowote walionao wametoa hukohuko RC.
 
kwani wewe (unamjua) unayo picha halisi ya yesu? usituletee picha ya yule mlevi mbwa bryan deacon kutoka uingereza
 
picha ya huyo mtu aliyepo kwenye kitenge sio portrait ya Yesu
Potrait ya Yesu haipo moja, hiyo ilikuwa ya mwanzo mwanzo karne ya 4 na zinaweza kubadilika kwa wakati na mahali, maana hazina maana zaidi ya symbol. Hapa Parokiani kwetu ipo ya mweusi mwenzetu, na ipo ya mweupe mwenye pua ya kuchongoka. Kwa hiyo huwezi kulazimisha kuwa hiyo ni ya Deacon wakati ipo pia ya Mwigulu na zote ni alama tu, hakuna anayeziabudu.
 
Kumbe hata Brian Deacon ni portrait ya Yesu? Kama ni hivyo basi mimi sibishi kitu. Nimekubali kweli kanisa katoliki mmebobea katika ibada za sanamu.
 
Kweli kabisa mkuu. Nazidi kupata somo la upotofu kutoka kwa wakatoliki wenyewe na wanasisitiza kuwa huo ndio utamaduni wao. Inasikitisha sana.
 
Kumbe hata Brian Deacon ni portrait ya Yesu? Kama ni hivyo basi mimi sibishi kitu. Nimekubali kweli kanisa katoliki mmebobea katika ibada za sanamu.
Huelewi maana ya ibada ya sanamu
 
Baadhi ya Viongozi wa dini wamejaa siasa Hadi huwa nawahurumia, halafu mbaya Zaid huwa kwenye upande wa kushindwa...kwahyo ni stress full time
 
kwani wewe (unamjua) unayo picha halisi ya yesu? usituletee picha ya yule mlevi mbwa bryan deacon kutoka uingereza
Mimi sijui picha yake na wala sijawahi kumuona mkuu. Lakini nashangaa wakatoliki wanamtumia Brian Deacon kama Yesu kwenye matukio yao ya kidini. Sijui ni nani aliyewadanganya kuwa Deacon ni Yesu.
 
Kuna mtu amekutuma kwenda kwa mwamposa?

Wewe na akili zako timamu ulifuata nini huko?

Ulishikiwa bunduki?

Acha ujinga na utoto
Mimi wala sijajilalamikia kwenda au kutokwenda kwa Mwamposa mkuu. Hoja yangu ni matumizi ya sadaka ninayotoa mm na waumini wengine kwa kumtolea Mungu dhabihu lakini Mwamposa anachukua sadaka yote anaenda kujenga hoteli binafsi. Ni afadhali hata ingekuwa hoteli ya kanisa nisingelalamika. Wewe unaona haya ni matumizi sahihi ya sadaka za waumini?
 
Nieleweshe mkuu. Kuchonga sanamu ya msalaba na kuuvaa shingoni sio ibada?
Ni ibada kama ilivyo chumvi, maji, keki na mafuta ya upako, bila kusahau sticker za mitume na manabii
 
Ni ibada kama ilivyo chumvi, maji, keki na mafuta ya upako, bila kusahau sticker za mitume na manabii
Ndio maana nimesema wote hao ni wa mchongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…