INASIKITISHA: Makaburi Kinondoni yanavunjwa makusudi ili ipatikane nafasi ya kuzikia

Hakuna mtu anaeabudu kaburi, sema kuna watu wanao yatukuza makaburi!
 
Huko kwenu wapi, kujengea makaburi ni HARAMU' Afghanistan?
 
Huku sifa za mjini kuzikwa Kinondoni kiwanja cha kaburi milion kumi
 
Anayehusudu tambiko ni Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya.

Yaani eti kweli Teja akifa anaweza kukupa utajiri ukimuomba?

Maana Teja naye hugeuka mzimu
Ujinga mwingi sana.
 
Ni kweli mkuu ni uharibifu wa mazingira na kuwababisha matambiko
 
serikali ipige marufuku watu kujengea makaburi na kupiga plasta na tiles kwenye makaburi ya uma,mtu akitaka hayo akazike kwake,watu wanakufa kila wakati lakini maeneo ya makaburi hayaongezeki.
Popote tu ni uharibifu wa pesa na madhara yake ni makubwa mno.
 
Kwanza makaburi yapo mengi si wakazike sehemu nyingine
 
Serikali ilishafunga makaburi ya kinondoni kwa sababu kumejaa na kuhamishia ununio kwa kondo. Kinachofanyika ni uhuni, ukienda na pesa yako ndefu wanakuuzia unapata sehemu ya kuzika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…