Eneo la kuzika 2 m???Hapo kinachofanyika ni uhuni wa daraja la juu. Tulinunua eneo la kuzikia sh millioni 2, tukaambiwa tulipe laki 3 ya wachimbaji. Aisee kwenye kaburi la ndugu yangu ilifukuliwa mifupa ya mtu aliyezikwa zamani. Tukiwa tunazika, wachimbaji wakaomba waifukie mifupa ya yule marehemu wa Kwanza mle kaburini
Nina bima nikifa wanafanya instant payment isiwe na hofu.Hela za kukusafirisha nipe kabisa
Tz ni kubwa mno,sehemu ingekuwepo tu,last week nimetembelea makaburi fulani ya ndugu zangu ,wengi wamezikwa mwanzoni mwa miaka ya 1900 na wengine miaka ya 1800Kujengea makaburi mi naona si vizuri imagine mababu zetu wangekuwa wanajengaga makaburi Leo tusingepata sehemu aisee
We Kwan ni singo Maza?Mimi ninaomba nizikwe kwetu Mtae
Jitahidi uache na pesa za kukupeleka huko, usiachie watu mzigo wa gharama....Mimi ninaomba nizikwe kwetu Mtae
Hapana ni double motherWe Kwan ni singo Maza?
Huyo mbona mdogo hata wale wakubwa kwa cheo na ubora kuzidi haifai kuwajengea makaburi.View attachment 1937716
Kwahiyo hata huyu ulitaka asijengewe kisa ataabudiwa?
Asante nikajua ni kule upareni kwetu Ila poa njia moja tunaachana segeraTanzania Mkoa wa Tanga
Hapana tunaachana MomboAsante nikajua ni kule upareni kwetu Ila poa njia moja tunaachana segera
Mombo nakula Sana nyama choma hapa chini halafu naenda kule juu kwenye hoteli ya mkapa dah enzi zileHapana tunaachana Mombo
Mkuu Bujibuji ulienda kuangalia maendeleo gani ya nduguyo aliepumzika hapo kinondoni?Makaburi Kinondoni yamekuwa yakihujumiwa makusudi ili iweze kupatikana nafasi ya kuzika tena.
Leo nilitembelea makaburi hayo asubuhi kwa ajili ya kuangalia maendeleo ya ndugu yangu aliyelazwa kwenye makaburi hayo.
MSAeMimi ninaomba nizikwe kwetu Mtae
Ehe umbujeMSAe
Maendeleo ya Kama kaota baada ya kupandwaMkuu Bujibuji ulienda kuangalia maendeleo gani ya nduguyo aliepumzika hapo kinondoni?
Kumbe ni msae na si mtaeMSAe
Hivi kwanini watu huwa wanajengea makaburi ?
Nimeelewa. Kumbe ardhi yote imshajaa kwahiyo siku hizi watu wanachimba kaburi juu ya kabuki. Maana "Makaburi ya Kinondoni" ni ya muda mrefu sana.Hapo kinachofanyika ni uhuni wa daraja la juu. Tulinunua eneo la kuzikia sh millioni 2, tukaambiwa tulipe laki 3 ya wachimbaji. Aisee kwenye kaburi la ndugu yangu ilifukuliwa mifupa ya mtu aliyezikwa zamani. Tukiwa tunazika, wachimbaji wakaomba waifukie mifupa ya yule marehemu wa Kwanza mle kaburini