Inasikitisha na kuumiza kweli: Hapa ndo tulipofika Tanzania, Taifa na Wajinga na Ujinga

Inawezekana kuna mapungufu kwa wengi wao, lakini inatokana na mambo mengi, asili ya mtu, , kujua kwake kwa mambo mengine zaidi ya asili yake NK hivyo kumtoa huko ni kumuelimisha na sio kumuona kama ni duni au asiyeelewa.
 
Ujinga ni mtaji!! Jitajidi sanaa kufuta ujinga kwa vizazi vyako maana watakuwa mtaji kwa watu werevu. Ujinga hauna umri. Tuombe sanaa Mungu atusaidie Taifa letu lisiangamie! Tunaanza kuona makucha ya Wazungu kupitia Trump....
Nimekuelewa sana
 
Unajua nguvu aliyo nayo rais weru hapa nchini huyo akisema hiwe hivi ndio inakuwa hiyo..anamamlaka makubwa sana.

Mm nawaelewa sana wanomhusudu watu wanataka mambo yao yaende mbele..
 
Wamenona inamaana huwaoni
 
Tanzania inahitaji Rais kama Putin au Ibrahim Traore au xiping vingenevyo kula kwa urefu wa kamba yako usubiri kufa.
 
Wacha watu wamfurahie mama akiupiga mwingi.....
 
Acha kujitia ujinga ..

Huyo ni rais wa nchi .... wanajeshi wanamtii sana. ..nao ni wananchi....sasa unashangaa nn kwa raia kumtii rais wao ?!!

Acheni uliberali koko,...
 
Muislamu hatakiwi kupewa uongozi kwenye hii nchi ndiyo wanao ikwamisha nchi yetu kwenye umaskini wakimsingizia nyerere ....
Kesho nenda na bango lenye maneno hayo pale ubungo na uitishe kufutwa kwao uraia wa Tanzania.....

Dini inahusiana nini na uongozi ?!!
Pathetic
 
Ni haki ya watanzania kupenda viongozi wao, na taifa lao, Katiba ina uhuru wa maoni, huna haki kuingilia haki yao ya maoni. Sawa na wewe ulivyo na mahaba na chechemela
Zwazwa huyo yeye ni nani atupangie wa kumpenda ?!!

Sijui wanajionaje hawa mafulafula ?!!
 
Muislamu hatakiwi kupewa uongozi kwenye hii nchi ndiyo wanao ikwamisha nchi yetu kwenye umaskini wakimsingizia nyerere ....
Waislam hawaongozwi na wanawake!! Nchi zilizoongozwa na wanawake mara nyingi huchechemea kwasababu Islam hairuhusu! Zanzibar bibi Kizimkazi asingepata uongozi wa visiwani.
 
Unajua nguvu aliyo nayo rais weru hapa nchini huyo akisema hiwe hivi ndio inakuwa hiyo..anamamlaka makubwa sana.

Mm nawaelewa sana wanomhusudu watu wanataka mambo yao yaende mbele..
Ndo mana nasema tumeshakuwa Taifa la Wajinga na ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…