amarina
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 230
- 403
Kama ilivyo desturi kisalimia. Nimesalimia.
Inanishangaza kufuatia vifo vya wanasiasa kuanzia oct 29. ukifuatilia utakuta wananchi wanashukuru. Hii ni hatari sana.
Na nadhani siasa inakwenda kuwa kazi ya ajabu sana maana wanasisa watakuwa wanajificha. Sasa kama mwanasiasa anajua kabisa akifa wananchi watashukuru inatia simanzi sana. itafikia mahala siasa itakuwa kazi ya aibu