Inasikitisha sana; Anakufa mwanasiasa, wananchi wanashangilia

wao huwa wanaamini wANASTAHILI KUISHI NA WENGINE WANAOPINGANA NAO WANASTAHILI KUFA TENA KWA RISASI WACHA TUSHANGILIE
 
Hakuna anaefurahia kifo cha mwanasiasa! Kwan wanasiasa na wao huwa wanakufa!!!? Mnadanganywa hakuna mwanasiasa anaweza kufa, zile huwa ni IA tu
 
Embu nile kitimoto mimi
20260111_204443.jpg
 
Kama ilivyo desturi kisalimia. Nimesalimia.

Inanishangaza kufuatia vifo vya wanasiasa kuanzia oct 29. ukifuatilia utakuta wananchi wanashukuru. Hii ni hatari sana.

Na nadhani siasa inakwenda kuwa kazi ya ajabu sana maana wanasisa watakuwa wanajificha. Sasa kama mwanasiasa anajua kabisa akifa wananchi watashukuru inatia simanzi sana. itafikia mahala siasa itakuwa kazi ya aibu
Nabado tunamsubiri mhusika mkuu.
 
Umesilitika mwenyewe
 
Ukishakuwa mwanasiasa tu basi unakuwa siyo binadamu wa kawaida.
Fikiria Samia aliwezaje kutoa amri watu wakauawa ili yeye aendelee kubaki madarakani?? Hiyo roho siyp roho ya kawaida.
 
Matako baba ako halafu huna akilI usiwe unaongea pumba kwa watu wenye uelewa yaan ww uje uibe barabarani au ulete vurugu barabarani ukimbilie mtaani unafuatwa huko huko nyie ndyo mmewaponza na wengine we kwa akili zako mgando utamdanganya nani yaan polisi atoke kituoni aende mtaani nyie panya road mmekabiwa kwa juu sana basi mkaona mkaibe halafu mkimbilie mtaani halafu nyie panya road mlionusurika ile siku inatakiwa mfungwe mlisababisha vifo vya raia wengine
Wacha wananchi washangilie, kama wao walivyokuwa wanashangilia.
Mtu hana silaha na yupo nyumbani kwake anapigwa risasi?!
🇹🇿 Tanzania hii????
Sio sawa,.
 
Ukishakuwa mwanasiasa tu basi unakuwa siyo binadamu wa kawaida.
Fikiria Samia aliwezaje kutoa amri watu wakauawa ili yeye aendelee kubaki madarakani?? Hiyo roho siyp roho ya kawaida.

Halafu kuna pimbi mwingine anakuja hapa kutukana watu kwa ajili ya Samia
 
Back
Top Bottom