Anasubiriwa ssh, watu wamechoka.Kama ilivyo desturi kisalimia. Nimesalimia.
Inanishangaza kufuatia vifo vya wanasiasa kuanzia oct 29. ukifuatilia utakuta wananchi wanashukuru. Hii ni hatari sana.
Na nadhani siasa inakwenda kuwa kazi ya ajabu sana maana wanasisa watakuwa wanajificha. Sasa kama mwanasiasa anajua kabisa akifa wananchi watashukuru inatia simanzi sana. itafikia mahala siasa itakuwa kazi ya aibu
Kuna binadamu wasio na aibu pia siasa inapendwa sana hadi na wahuni kwa sababu ina pesa nyingi za burebure, ni rahisi kukwepa mkono wa Sheria kwa kazi chafu na pia ni fursa ya kuwatesa wapinzani wako ukipata nafasi kwenye serikali.Kama ilivyo desturi kisalimia. Nimesalimia.
Inanishangaza kufuatia vifo vya wanasiasa kuanzia oct 29. ukifuatilia utakuta wananchi wanashukuru. Hii ni hatari sana.
Na nadhani siasa inakwenda kuwa kazi ya ajabu sana maana wanasisa watakuwa wanajificha. Sasa kama mwanasiasa anajua kabisa akifa wananchi watashukuru inatia simanzi sana. itafikia mahala siasa itakuwa kazi ya aibu
Kuwa kazi ya ajabu ndio dhumuni husikaKama ilivyo desturi kisalimia. Nimesalimia.
Inanishangaza kufuatia vifo vya wanasiasa kuanzia oct 29. ukifuatilia utakuta wananchi wanashukuru. Hii ni hatari sana.
Na nadhani siasa inakwenda kuwa kazi ya ajabu sana maana wanasisa watakuwa wanajificha. Sasa kama mwanasiasa anajua kabisa akifa wananchi watashukuru inatia simanzi sana. itafikia mahala siasa itakuwa kazi ya aibu
haya yote yamesababishwa na mbogamboga...Kama ilivyo desturi kisalimia. Nimesalimia.
Inanishangaza kufuatia vifo vya wanasiasa kuanzia oct 29. ukifuatilia utakuta wananchi wanashukuru. Hii ni hatari sana.
Na nadhani siasa inakwenda kuwa kazi ya ajabu sana maana wanasisa watakuwa wanajificha. Sasa kama mwanasiasa anajua kabisa akifa wananchi watashukuru inatia simanzi sana. itafikia mahala siasa itakuwa kazi ya aibu
Matako baba ako halafu huna akilI usiwe unaongea pumba kwa watu wenye uelewa yaan ww uje uibe barabarani au ulete vurugu barabarani ukimbilie mtaani unafuatwa huko huko nyie ndyo mmewaponza na wengine we kwa akili zako mgando utamdanganya nani yaan polisi atoke kituoni aende mtaani nyie panya road mmekabiwa kwa juu sana basi mkaona mkaibe halafu mkimbilie mtaani halafu nyie panya road mlionusurika ile siku inatakiwa mfungwe mlisababisha vifo vya raia wengineWe matako kweli,
zile risasi zilivyolindima majumbani Kwa raia uliskia mwanasiasa yeyote akikemea
Na ikitokea kwa lile kubwa la maadui hiyo shangwe yake siyo ya sayari hii.Wamelikoroga walinywe, wananchi si wajinga kushangilia vifo vya wanasiasa waliowatosa, akifa mwanasiasa mkubwa watafanya sherehe hawa. Kuwarudisha kwenye hali ya kawaida ni shughuli pevu, wameona faraja yao ni kushangilia vifo vya wanasiasa watesi wao, kula chuma hicho!
siku hiyo nitachinja mbuzi usiku wa manane hata kama sina mbuzi nitachukua wa jirani tutalipana mbele ya safariKuna jitu likifa nchi italipuka kwa furaha sana. Mimi mwenyewe siku hiyo nitakesha club nikibambia na kunywa
Hiyo siku itakuwa ni fiesta fiestaa ni kula na kunywaa mpk majogoo!siku hiyo nitachinja mbuzi usiku wa manane hata kama sina mbuzi nitachukua wa jirani tutalipana mbele ya safari
Wewe punguani una uelewa gani, kama unajiamini toka hadharani uongee huu uharo wako mbele ya raia kama sisi tukufundishe kuadhibuMatako baba ako halafu huna akilI usiwe unaongea pumba kwa watu wenye uelewa yaan ww uje uibe barabarani au ulete vurugu barabarani ukimbilie mtaani unafuatwa huko huko nyie ndyo mmewaponza na wengine we kwa akili zako mgando utamdanganya nani yaan polisi atoke kituoni aende mtaani nyie panya road mmekabiwa kwa juu sana basi mkaona mkaibe halafu mkimbilie mtaani halafu nyie panya road mlionusurika ile siku inatakiwa mfungwe mlisababisha vifo vya raia wengine