Inasikitisha sana; Anakufa mwanasiasa, wananchi wanashangilia

Wale tuliosoma enzi shule za serikali za msingi zina bendi ngoma 8+ na filimbi zinapigwa wakati wa parade ya kila siku asubuhi hili siyo jambo geni.

Ulikuwepo wimbo pendwa wakati wa mchakamchaka kumuombea Idd Amin afe ili tukamtupe mto Kagera aliwe na mamba!😀

Amin hakufanya maovu kuwazidi hawa wanasiasa tulionao,ile vita iliuwa watz chini ya 400!!
 
Mtoto wa kahaba uliyezaliwa kwenye choo cha danguro huwezi kuwaa na akili , Kvma la mamakko kahaba mchafu
 
Laana.
 
Sioni kama ni masikitiko ila ni ujumbe mahsusi kwa wanasiasa wenye akili kuwa hawakidhi mahitati ya sasa ya wale wanao waongoza.Mwenye akili na masikio naasikie.Ila vyura viziwi waendelee kukaza fuvu na shingo ili mlo uendelee kutiririkia kinywani!
 
Mkuu kwani Amani si ipo?
 
Maana yake huu wimbo ni wa kizalendo,wasio wazalendo hauwahusu,hivyo wakae pembeni tasafali,wabakie kumeza vidonge vichungu tuu,nawasituchanganye.
 
sema ukipitia coments za watu huko instagram unagundua kama Taifa lina mpasuko mkubwa sana
 
Na hao wanaokula kwa ulefu wa kamba zao na kuiba billions of money ambazo ni kodi zetu walala hoi mbona wao wakiiba hawapigwi risasi,
kwa hiyo ile kuuwa watu ndio ilikuwa njia sahihi ya kujibu matakwa ya waandamanaji
 
Rekebisha taarifa, wanaoshangilia ni hivi vichinda vya lissu, lema na TEC hivyo haiwasumbui..... waendelee kushangilia.
 
We matako kweli,
zile risasi zilivyolindima majumbani Kwa raia uliskia mwanasiasa yeyote akikemea
Matako baba ako halafu huna akilI usiwe unaongea pumba kwa watu wenye uelewa yaan ww uje uibe barabarani au ulete vurugu barabarani ukimbilie mtaani unafuatwa huko huko nyie ndyo mmewaponza na wengine we kwa akili zako mgando utamdanganya nani yaan polisi atoke kituoni aende mtaani nyie panya road mmekabiwa kwa juu sana basi mkaona mkaibe halafu mkimbilie mtaani halafu nyie panya road mlionusurika ile siku inatakiwa mfungwe mlisababisha vifo vya raia wengin
Na hao wanaokula kwa ulefu wa kamba zao na kuiba billions of money ambazo ni kodi zetu walala hoi mbona wao wakiiba hawapigwi risasi,
kwa hiyo ile kuuwa watu ndio ilikuwa njia sahihi ya kujibu matakwa ya waandamanaji
Hivi unaelewa ulichokiandika hao wafanyabiashara waliochomewa biashara zao ni wanasiasa panya road wanaingia kwenye maduka ya watu wanaenda kuiba wale waliokua wanaibiwa wamekula kodi yako kabla hujaandika hakikisha huandiki pumba
 
Wewe tamba tu Kwa vile mwalimukumamako,
 
We matako kweli,
zile risasi zilivyolindima majumbani Kwa raia uliskia mwanasiasa yeyote akikemea
Matako baba ako halafu huna akilI usiwe unaongea pumba kwa watu wenye uelewa yaan ww uje uibe barabarani au ulete vurugu barabarani ukimbilie mtaani unafuatwa huko huko nyie ndyo mmewaponza na wengine we kwa akili zako mgando utamdanganya nani yaan polisi atoke kituoni aende mtaani nyie panya road mmekabiwa kwa juu sana basi mkaona mkaibe halafu mkimbilie mtaani halafu nyie panya road mlionusurika ile siku inatakiwa mfungwe mlisababisha vifo vya raia wengin
Na hao wanaokula kwa ulefu wa kamba zao na kuiba billions of money ambazo ni kodi zetu walala hoi mbona wao wakiiba hawapigwi risasi,
kwa hiyo ile kuuwa watu ndio ilikuwa njia sahihi ya kujibu matakwa ya waandamanaji
Hivi unaelewa ulichokiandika hao wafanyabiashara waliochomewa biashara zao ni wanasiasa panya road wanaingia kwenye maduka ya watu wanaenda kuiba wale waliokua wanaibiwa wamekula kodi yako kabla hujaandika hakikisha huandiki pum
Wewe tamba tu Kwa vile mwalimukumamako,
Umemuona baba ako alivyo mwizi we unazani baba ako tumpe adhabu gani hapo tumemhurumia sana tunampaka mafuta
 

Attachments

  • _jamiidiary _reels _trending _tanzania _fyp(MP4).mp4
    525.7 KB

Huna akili
 
ni ushirikina na ulofa tu wa baadhi ya wananchi hususani wenye changamoto za afya ya akili na wengine maisha yanawadrive crzy.

kwa kawaida ,
mwanadamu akifa ndio imetoka hiyo hata kama wanaobaki watafurahi au watahuzunika,

ndi maana wenye imani wanaamini,
kuishi ni kristo na kufa ni faida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…