Inasikitisha sana; Anakufa mwanasiasa, wananchi wanashangilia

wao huwa wanaamini wANASTAHILI KUISHI NA WENGINE WANAOPINGANA NAO WANASTAHILI KUFA TENA KWA RISASI WACHA TUSHANGILIE
 
Hakuna anaefurahia kifo cha mwanasiasa! Kwan wanasiasa na wao huwa wanakufa!!!? Mnadanganywa hakuna mwanasiasa anaweza kufa, zile huwa ni IA tu
 
Nabado tunamsubiri mhusika mkuu.
 
Umesilitika mwenyewe
 
Ukishakuwa mwanasiasa tu basi unakuwa siyo binadamu wa kawaida.
Fikiria Samia aliwezaje kutoa amri watu wakauawa ili yeye aendelee kubaki madarakani?? Hiyo roho siyp roho ya kawaida.
 
Wacha wananchi washangilie, kama wao walivyokuwa wanashangilia.
Mtu hana silaha na yupo nyumbani kwake anapigwa risasi?!
🇹🇿 Tanzania hii????
Sio sawa,.
 
Ukishakuwa mwanasiasa tu basi unakuwa siyo binadamu wa kawaida.
Fikiria Samia aliwezaje kutoa amri watu wakauawa ili yeye aendelee kubaki madarakani?? Hiyo roho siyp roho ya kawaida.

Halafu kuna pimbi mwingine anakuja hapa kutukana watu kwa ajili ya Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…