Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Hatari sanaMfano mzuri ni kitu kipya cha Putin!Hiki hapa:Kinaitwa:
"Oreshnik"
View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1859567946768494788
View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1859660681970065608
Ndo hivo mkuu Zele amegeuza nchi yake uwanja wa majaribio, zamani ilikua waarabu now ni whites wenyewe.Hatari sana
Nilikuwa naangalia documentary inaitwa "Shadow World : Inside The Global Arms Trade". Ni balaa tupu.Kila siku silaha mpya zinaingizwa vitani , baadhi zinaonesha ufanisi nyingine zinafeli .
Nchi kubwa watengenezaji wa silaha inapotokea migogoro na vita ndio sehemu ya kuuza na majaribio ya silaha .
Inasikitisha lakini ndiyo ulimwengu uliko akili mkichwa .
Silaha ni biashara kubwa duniani .bila vita biashara inadoda na kuna nchi uchumi wao unategemea mauzo ya silahaKila siku silaha mpya zinaingizwa vitani , baadhi zinaonesha ufanisi nyingine zinafeli .
Nchi kubwa watengenezaji wa silaha inapotokea migogoro na vita ndio sehemu ya kuuza na majaribio ya silaha .
Inasikitisha lakini ndiyo ulimwengu uliko akili mkichwa .