Inasikitisha sana mji mzuri kama huu wa Walebanoni kufanywa magofu Kama Gaza kwa kuunga mkono magaidi wa Hizbola

Israle na marekani ndio walianzisha jihadi wakafyeka watu afghastan,pakistan,Egypt,libya,tunisia,algeriana moroco!
Kabla hujaongelea usalama jikumbushe jinsi uislam ulivo angamiza mamilion ya watu kwa upanga wa jihadi
Marekani imeua watu mpaka Vietnam na Korea kaskazini haikuishia hapo ikaua maelfu Japan haiku tosha inaendelea kuua makumi na maelfu kule Cuba na Venezuela enhe unaelewa jihad kijana au unakurupuka uislam haujaua mtu kwa upanga bila sababu soma history acha kupotosha watu
 
makombaz uwa wanaanzisha fujo, wapigwe ili dunia iwaonee huruma, na ndio silaha yao. Kama hamas wangejua dunia itanyamaza hadi GAZA ikawa majivu vile, wasingeanzisha ugomvi wa october 7.

Kama Hezbollah wangejua kiongozi wao pendwa angekufa, makamanda wao wote wangekufa, na miji mizuri ya Lebanon ingegeuzwa majivu, wasingeanzisha vita na hata sasaivi wangeshanyoosha mikono juu. Hata hivyo marekani yupo mbioni kuwashawishi israel wasitishe mapigano. na dunia ilivyoona hawa wanadeka sana, imenyamaza kimyaaaa. wamepata hasara kubwa mno. kuishi na wajahidina kwenye nchi yako ni risk kubwa sana (namaanisha wenye msimamo mkali, waislam wasio na msimamo mkali kama wa bongo na saudia na dubai hawana shida).
 
Israel anaonyesha dunia yeye ni mbabe wa kuvunja majumba na kuwauwa watoto, wanawake na vizee. Silaha za bure lazima avunje majumba, sababu hawezi kupigana na wanaume haswa wanamgambo wa Hezbullah na Hamasi.
ukiwa vitani adui akajificha kwenye jumba lenye watoto, hao wanajeshi hua wanaambiwa hiyo ni legitimate target. usije kujidanganya. utapigwa na huna la kufanya.
 
Wakati anayasema hayo yeye na familia yake wako Iran analindwa asiuawawe huku akichochea wenzake wafe.
 
Naona mzayuni umeamua kuropokwa kweli ila hao wauaji wao watabakia milele pamoja na wewe
 
Gaidi ni Gaidi tu hata anachofanya Israel sasa hivi ni Ugaidi..., unadhani kwa teknolojia ya sasa kuna anayeshindwa kusambaza mji kwa mabomu ? Ni kwamba nchi hazifanyi hivyo sababu effect yake ni kubwa in the long run kuliko faida....
 
Sijawai kuona muarabu mwenye akili sijui mi ndo nawatafsiri vibaya ?

Chunguza kabisa matukio mengi uwa wanafanya kwa mihemko
Ila wewe ulosema kwamba warusi wamejazana kwenye malls wanagombania sukari ndio una akili na hutumii mihemko wewe wakupuuzwa huna hoja
 
Ni kweli hezobllah ni hatari sana, wana nguvu sana, na israeli haitawaweza. HAYA TUELEZE, HAWA WAPO WAPI? WAMESHAPATA MABIKIRA 72 AU BADO.

 
Iran na Urusi watalipa.
 
Hii ni hoja mfu, mitaani kobazi ndio wafuasi namba moja wa huduma za huu mtandao, anzia hapo Zanzibar, Mombasa etc.
Ila huko kwenu kawaambia mubarikiwe ushabarikiwa tayari huko Mombasa na zanzibr Kuna waislam watupu mzayuni wa jf umekatwa kichwa
 
Mliambiwa mlete ushahidi mpaka leo hamjaleta mumekimbia munabakia kupiga kelele
 
Ni mpuuzi asie jitambua na mjinga pekee atawaponda hizbullah na Hamas wenye akili timamu tupo pamoja nao licha ya magumu wanayopitia bila israhell na marekani mashariki ya kati na duniani kwaujumla pangekua mahala salama Sanaaaaaaa
Bila bikira huko kwa Allah sote tungekuwa salama maana hakuna anaetaka kufa
 
Hao walebanon unaowasema niwavamizi wakipalestina sio walebanoni halisi, kama nikuona huruma mbona wamisri au wajordan wametulia hawashobokei huo mgogoro
Unawapangia watu cha kufanya mbona nyie hamuushobokei mgogoro wa Kongo
 
Kufikia koloni la hivi unadhani ni watu wangap waliuwawa??

Ila Allah muuaji sana
 

Attachments

  • 0B1A5800-6C1A-486E-B26B-B2D37FEC3F73.jpeg
    65 KB · Views: 1
Hapo wanalebanon hawana hatia haoa magaidi ndio miyayushobni kama Iran tu
 
Haya bhana Tuendelee.
Umeshindwa kuleta ushahidi eeenh siku nyengine usiwe mropokaji uwe unafatilia mambo kwanza sasa kama jambo dogo kama hizbullah na hamas kutokua magaidi mbele ya jamii ya kimataifa huijui unawezaje kuongelea ishu kubwa kama Palestine kwa usahihi
 
Unaongea Urusi ipi? kuna miji ya Ukraine ambayo imebaki haina jengo lililosimama hata moja, au hufuatilii wehu wa huyu Mrusi?
Unaizungumzia urusi ipi mzee, hayo majengo yaliyobomolewa hakukuwa na mwananchi yeyote humo miji hiyo kabla ya vita watu walishahama. Na wana iwezo wa kupiga residential areas za kyiv kwa ukubwa kuliko israel anavyofanya ghaza na lebanon ila huwezi kuja kusikia akifanya hivo. Na wakikuta raia eneo la vita huwa wanawasaidia hadi uraia wanawapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…