Wanaokoa nafsi za wapalestina wakati huohuo zaidi ya wapalestina elfu 40 wameuawa sijui ni nafsi za wapalestina gani zinazo okolewa kama siyo kuongeza petrol kwenye moto wapalestina wazidi kuuawa.Hujasikiliza hotuba ya Naim Qassim Katibu mkuu wa Hezbollah Leo katika hotuba yake? Amesema hawawezi kukaa pembeni kuangalia wapalestina zaidi ya elfu 40 wakiuliwa kwenye mahema ,sokoni na kwenye majumba Yao. Hii ndio sababu kuu , hata Iran na Yemen sababu inayowafanya kupigana ni hii kuokoa nafsi za wapalestina.
Inawezekana wewe unaona ni sawa tu kinachofanyika Gaza na Palestine lakini kiuhalisia it's not right
Wakati mwingine kujifurahisha ni kuzuri,viongozi wote wa Hezbollah na Hama's pamoja na maafande wa Iran waliouawa ubalozi wa Iran nchini Syria ni wanawake siyo wanaume.Israel anaonyesha dunia yeye ni mbabe wa kuvunja majumba na kuwauwa watoto, wanawake na vizee. Silaha za bure lazima avunje majumba, sababu hawezi kupigana na wanaume haswa wanamgambo wa Hezbullah na Hamasi.
Jisemee wewe!Ni mpuuzi asie jitambua na mjinga pekee atawaponda hizbullah na Hamas wenye akili timamu tupo pamoja nao licha ya magumu wanayopitia bila israhell na marekani mashariki ya kati na duniani kwaujumla pangekua mahala salama Sanaaaaaaa
Kwahiyo hao wanaokufa huko Israel ni maboksi?Wanaokoa nafsi za wapalestina wakati huohuo zaidi ya wapalestina elfu 40 wameuawa sijui ni nafsi za wapalestina gani zinazo okolewa kama siyo kuongeza petrol kwenye moto wapalestina wazidi kuuawa.
Umoja wa mataifa ulipitisha azimio la kuvitambua vikundi vya Kigaidi ikiwa ni pamoja na wafadhili wao na kuyataka mataifa kutoyaruhusu au kuyakubali makundi hayo kuwepo ndani ya nchi zao. Miongoni mwa makundi hayo, HAMAS na Hezbollah wameorodheshwa.Ifike mahali wakataliwe na Kila jamii na Dini zote wanasababisha miji mizuri Kama kuharibiwa
Labda MTU mwenye Sababu zenye akili za Hizbola kushambulia Israel azieleze hapa
Pia mwenye sababu za msingi za Iran kuichukia Israel na kutaka kuifuta kwenye ramani ya dunia na kumuundia vikundi vya kigaidi
Aleezea hapa
Tafauti na hapo tukubaliane na majibu ya Israel na WASHIRIKA wake ya Sasa na baadae View attachment 3139368
View attachment 3139368
Walebanoni wameua watoto wao makusudi watumike Kama Kinga ya vita kwa hizbola, kulinda magaidi na wewe ni gaidi na taarifa wakipewa na Israel
Israel ilitoa taarifa mapema ya kushambulia maeneo lakini wakaamua kubaki na wanawake wao na watoto ili wauawe iwe Kinga kwa Hizbola INgawa mbinu hii Israel imeilewa ndo maana hawataki kulea magaidi Nashauri UN ipige maarufuku kitendo hiki cha kikatili Cha kutumia watoto na wanawake Kama Kinga...www.jamiiforums.com
Afghanistan chini ya Waislamu wa Taliban wenye misimamo mikali na mahala salama ya kuishi?Ni mpuuzi asie jitambua na mjinga pekee atawaponda hizbullah na Hamas wenye akili timamu tupo pamoja nao licha ya magumu wanayopitia bila israhell na marekani mashariki ya kati na duniani kwaujumla pangekua mahala salama Sanaaaaaaa
Lete tafsiri ya neno gaidi kwanza., huenda unasumbuliwa na kasumba za magharibi katika akili yakoIfike mahali wakataliwe na Kila jamii na Dini zote wanasababisha miji mizuri Kama kuharibiwa
Labda MTU mwenye Sababu zenye akili za Hizbola kushambulia Israel azieleze hapa
Pia mwenye sababu za msingi za Iran kuichukia Israel na kutaka kuifuta kwenye ramani ya dunia na kumuundia vikundi vya kigaidi
Aleezea hapa
Tafauti na hapo tukubaliane na majibu ya Israel na WASHIRIKA wake ya Sasa na baadae View attachment 3139368
View attachment 3139368
Walebanoni wameua watoto wao makusudi watumike Kama Kinga ya vita kwa hizbola, kulinda magaidi na wewe ni gaidi na taarifa wakipewa na Israel
Israel ilitoa taarifa mapema ya kushambulia maeneo lakini wakaamua kubaki na wanawake wao na watoto ili wauawe iwe Kinga kwa Hizbola INgawa mbinu hii Israel imeilewa ndo maana hawataki kulea magaidi Nashauri UN ipige maarufuku kitendo hiki cha kikatili Cha kutumia watoto na wanawake Kama Kinga...www.jamiiforums.com
Huwa nashangaa sana eti siku zote wimbo wao ni huo wa wazee,watoto na wanawake. Kwamba wanaume na vijana hawauwawi?Hivi,huo uongo mnakaririshana na kuusambaza ili iweje?Ina maana risasi na mabomu ya Israeli yanabagua na kuwaua wanawake na watoto tu?Kwangu mimi,nikiua wapendwa wa adui ndiyo naamini namuumiza vizuri sana ili ajae upepo na yeye apigike vizuri zaidi.
Lete tafsiri ya neno gaidi kwanza., huenda unasumbuliwa na kasumba za magharibi katika akili yako
Huwa nashangaa sana eti siku zote wimbo wao ni huo wa wazee,watoto na wanawake. Kwamba wanaume na vijana hawauwawi?
Ndicho ulichokariri mchoma sindano kuangalia makalio ya mchoma mkaa?Huna jambo jipya?
Ni ili waonewe huruma wakati ni wachokozi halafu washari ilhali kupambana hawawezi.Wanajibebesha maiti za watoto na kupanua midomo hadi inagusana na masikio huku wanajiliza hadharani.πHuwa nashangaa sana eti siku zote wimbo wao ni huo wa wazee,watoto na wanawake. Kwamba wanaume na vijana hawauwawi?
Je kama hawana akiliIfike mahali wakataliwe na Kila jamii na Dini zote wanasababisha miji mizuri Kama kuharibiwa
Labda MTU mwenye Sababu zenye akili za Hizbola kushambulia Israel azieleze hapa
Pia mwenye sababu za msingi za Iran kuichukia Israel na kutaka kuifuta kwenye ramani ya dunia na kumuundia vikundi vya kigaidi
Aleezea hapa
Tafauti na hapo tukubaliane na majibu ya Israel na WASHIRIKA wake ya Sasa na baadae View attachment 3139368
View attachment 3139368
Walebanoni wameua watoto wao makusudi watumike Kama Kinga ya vita kwa hizbola, kulinda magaidi na wewe ni gaidi na taarifa wakipewa na Israel
Israel ilitoa taarifa mapema ya kushambulia maeneo lakini wakaamua kubaki na wanawake wao na watoto ili wauawe iwe Kinga kwa Hizbola INgawa mbinu hii Israel imeilewa ndo maana hawataki kulea magaidi Nashauri UN ipige maarufuku kitendo hiki cha kikatili Cha kutumia watoto na wanawake Kama Kinga...www.jamiiforums.com
πππππππJe kama hawana akili
Mko pamoja nao kivipiNi mpuuzi asie jitambua na mjinga pekee atawaponda hizbullah na Hamas wenye akili timamu tupo pamoja nao licha ya magumu wanayopitia bila israhell na marekani mashariki ya kati na duniani kwaujumla pangekua mahala salama Sanaaaaaaa
Yampasa kila mmoja kuchagua upande wa haki hata kama haki hiyo itakuwa ni yenye kukubana na kukusababishia maumivu na unyonge.Ifike mahali wakataliwe na Kila jamii na Dini zote wanasababisha miji mizuri Kama kuharibiwa