Hapana msijifanye vipofu dhidi ya israel na hamfaidiki na chochote israel anapiga residential building pale lebanon kitu ambacho hata urusi hafanyi hvo, wamepiga mpaka bank na financial institutions pale lebanon in short unachokiona sasa hivi anakifanya netanyaho ndo alichokifanya hittler ni against humanity at all ila mwisho wa siku na yey hayupoKuna mali za viongozi wa Hezzbollha, mahandaki ya silaha na vitu vingine. Analenga baadhi ya maeneo sio kila mahali.
Huyu mwamba uliyemtaja.. siku hizi Yuko wapi mpaka asisahaulike??Kwanza Mheshimiwa na kupa hongera sana kutumia jina la mwamba Yahya Al Sinwar huyu kiongozi Israel hawata kuja msahau, wao na mashoga zao US, UK. Germany na badhi ya mafala viongozi wa kiarabu.
Israel hawezi vita anacho weza kuvunja majumba na kufanya genocide basi.
Then kuna watu wanawasaport wanawapa utakatifu wa kifala israel tunatakiwa wotr tuwe against any form of inhumanity kwa mtu wa dini yoyoteIsrahell akili hawana
Kuna watu akili hawanaThen kuna watu wanawasaport wanawapa utakatifu wa kifala israel tunatakiwa wotr tuwe against any form of inhumanity kwa mtu wa dini yoyote
Hezbollah walitakiwa waenda huko Gaza wakaungane na hamas kuwa furusha hao waisrael kama kweli walikuwa serious. Hezbollah inachokoza Israel wakati Haina nguvu ya kuwalinda walebanon achilia mbali kujilinda wenyewe TU.Unavhokisema ni ukweli ila sio kwenye mgogoro huu. Hezbollah wamesimama kwenye haki. Wanawatetea binadamu wenzao wanaouliwa kila kukicha kama sisimizi tena kikatili.
Hakuna binadamu mwenye akili anaweza kuuwa binadamu wenzake kama Israel. Juu ya yote, anawamyima wapalestina hata chakula, maji na dawa. Analipua hadi hospitali, kambi za wahanga wa vita, shule za watoto wa primary, yani ni unyama uliokithiri.
Hata kama ingekuwa Kenya, Tanzania tungeyatimba kama Lebanon maana hatuwezi kamwe kumuona jirani yetu anauliwa bila huruma kama Israel wanavyowafanyia wapalestina. I stand with Lebanon despite the disastrous outcome
October 7 Israel ilifanya Genocide karibia watu 1000 raia wake wenyewe na kusingizia Hamas,Oct 7 Hamas walifanya genocide ya watu zaidi ya 1200 ndani ya Israel, then Oct 8 2023 Hezbollah wanaanza kurusha makombora kuwaunga mkono Hamas, ulitegemea Israel wapige magoti mbele ya magaidi,?!
Mbona nimekudokeza mahali pa kujisomea ww mwenyewe orodha rasmi ya makundi ya kigaidi duniani ambapo HAMAS na Hezbollah wameorodheshwa?Mkiambiwa hamjitambui mtaona kama mnatukanwa leta sehemu ambayo UN wameiorodhesha hizbullah na Hamas kama makundi ya kigaidi pia kama nchi unavyosema basi hata mandela alikua anaitwa gaidi mwisho suala linajulikana kama wanataka waikalie Ghaza ila hilo wasahau dunia iliishavuka huko tuupe muda nafasi yake utaamua tuuuu
Hizi ni propaganda za aljazeera.October 7 Israel ilifanya Genocide karibia watu 1000 raia wake wenyewe na kusingizia Hamas,
Wenyewe Israel polisi na Vyombo vyao vya habari vinakiri kua ni wao kwa kutumia Helicopter ya Apache ndio waliunguza watu ila wabongo na mahaba Niue wengine bado mna endelea kusambaza propaganda.
Mimi sio Gaidi.Mbona wewe hujajifichia humo
Hakuna akili timamu anavaa suruali fupi na kusifia muoaji wa mtoto wa miaka 6Ni mpuuzi asie jitambua na mjinga pekee atawaponda hizbullah na Hamas wenye akili timamu tupo pamoja nao licha ya magumu wanayopitia bila israhell na marekani mashariki ya kati na duniani kwaujumla pangekua mahala salama Sanaaaaaaa
Vikundi vya kigaidi vya Allah uzuri Israel inavishughulikia kwa ukamilifu. Hisbollah na Hamas wamebaki wakiwa viongozi wao wote wamelambishwa udongoVikundi vya kigaidi kwa mujibu wa nani? Huu upumbavu ndio Dunia ya watu wenye akili wanapambana nao kuufuta. Marekani anaangalia wapalestina wakiuwawa kama kuku na hakuwahi kulalamika kuhusu Haki za kibinadamu lakini Urusi akiipiga Ukraine utasikia Haki za binadamu ziangaliwe. Kwendeni zenu huko
Hahahahaahah π π π π Israel hawezi vita??Kwanza Mheshimiwa na kupa hongera sana kutumia jina la mwamba Yahya Al Sinwar huyu kiongozi Israel hawata kuja msahau, wao na mashoga zao US, UK. Germany na badhi ya mafala viongozi wa kiarabu.
Israel hawezi vita anacho weza kuvunja majumba na kufanya genocide basi.
Ifike mahali wakataliwe na Kila jamii na Dini zote wanasababisha miji mizuri Kama kuharibiwa
Labda MTU mwenye Sababu zenye akili za Hizbola kushambulia Israel azieleze hapa
Pia mwenye sababu za msingi za Iran kuichukia Israel na kutaka kuifuta kwenye ramani ya dunia na kumuundia vikundi vya kigaidi
Aleezea hapa
Tafauti na hapo tukubaliane na majibu ya Israel na WASHIRIKA wake ya Sasa na baadae View attachment 3139368
View attachment 3139368
Walebanoni wameua watoto wao makusudi watumike Kama Kinga ya vita kwa hizbola, kulinda magaidi na wewe ni gaidi na taarifa wakipewa na Israel
Israel ilitoa taarifa mapema ya kushambulia maeneo lakini wakaamua kubaki na wanawake wao na watoto ili wauawe iwe Kinga kwa Hizbola INgawa mbinu hii Israel imeilewa ndo maana hawataki kulea magaidi Nashauri UN ipige maarufuku kitendo hiki cha kikatili Cha kutumia watoto na wanawake Kama Kinga...www.jamiiforums.com
Wewe nadhani ujitafakari mvaaa kobazi na ushungiNi mpuuzi asie jitambua na mjinga pekee atawaponda hizbullah na Hamas wenye akili timamu tupo pamoja nao licha ya magumu wanayopitia bila israhell na marekani mashariki ya kati na duniani kwaujumla pangekua mahala salama Sanaaaaaaa
Ni mpuuzi asie jitambua na mjinga pekee atawaponda hizbullah na Hamas wenye akili timamu tupo pamoja nao licha ya magumu wanayopitia bila israhell na marekani mashariki ya kati na duniani kwaujumla pangekua mahala salama Sanaaaaaaa
Wewe ushajitafakari kua mvaa kobazi tu ni zaidi ya tafakuriWewe nadhani ujitafakari mvaaa kobazi na ushungi
Endelea kujifarijiHezbollah walitakiwa waenda huko Gaza wakaungane na hamas kuwa furusha hao waisrael kama kweli walikuwa serious. Hezbollah inachokoza Israel wakati Haina nguvu ya kuwalinda walebanon achilia mbali kujilinda wenyewe TU.
ile nguvu ya makombora laki Moja waliyonayo Iko wapi? afadhali hata hamas ilijitutumua kuliwa Hawa malofa
Narudia tena kama hutaelewa nakuacha hakuna sehemu UN inazitambua hamas na hizbullah kama magaidi bali kama ilivyotokea kwa mandela hamas na hizbullah watakuwa zaidi ya mandela ni suala la muda tuuuuMbona nimekudokeza mahali pa kujisomea ww mwenyewe orodha rasmi ya makundi ya kigaidi duniani ambapo HAMAS na Hezbollah wameorodheshwa?
Ni kweli mtu kuitwa gaidi inategemea ni kwa mtizamo gani. Mandela aliitwa ni gaidi kwa mtizamo wa Watawala wa wakati huo lakini hatimaye baada ya muda aliitwa mheshimiwa raisi wa Afrika Kusini. Wewe una ndoto hizo kwa HAMAS na Hezbollah? Hao hawatoboi kamwe.
Iyerdoi watabishaWaziri wa fedha wa israel akihutubia huku akilia anasema wanajeshi wa israel wengi sana wanakufa tunazika mpaka tunachoka sisi tunawauwa warabu kwa kuvunja nyumba zao tukitegemea ushindi lakini imekuwa kinyume sisi ndio tunakufa sana
View attachment 3139497