Inasikitisha sana mji mzuri kama huu wa Walebanoni kufanywa magofu Kama Gaza kwa kuunga mkono magaidi wa Hizbola

Inasikitisha sana mji mzuri kama huu wa Walebanoni kufanywa magofu Kama Gaza kwa kuunga mkono magaidi wa Hizbola

Ni mpuuzi asie jitambua na mjinga pekee atawaponda hizbullah na Hamas wenye akili timamu tupo pamoja nao licha ya magumu wanayopitia bila israhell na marekani mashariki ya kati na duniani kwaujumla pangekua mahala salama Sanaaaaaaa

Tatizo dini inawafanya muwe wajinga, ukizingatia hiyo dini imebuniwa juzi na kukuta zingine, inahubiri chuki na kuwachonganisha na dunia.
 
Unavhokisema ni ukweli ila sio kwenye mgogoro huu. Hezbollah wamesimama kwenye haki. Wanawatetea binadamu wenzao wanaouliwa kila kukicha kama sisimizi tena kikatili.

Hakuna binadamu mwenye akili anaweza kuuwa binadamu wenzake kama Israel. Juu ya yote, anawamyima wapalestina hata chakula, maji na dawa. Analipua hadi hospitali, kambi za wahanga wa vita, shule za watoto wa primary, yani ni unyama uliokithiri.

Hata kama ingekuwa Kenya, Tanzania tungeyatimba kama Lebanon maana hatuwezi kamwe kumuona jirani yetu anauliwa bila huruma kama Israel wanavyowafanyia wapalestina. I stand with Lebanon despite the disastrous outcome
Hapa kitu kinachoitwa ubinadamu ni kichaka TU cha kujifichia. Hao Hezbollah wanafanya hayo kwa kigezo cha dini yao (yaani wenzao katika Imani) na ile ya waarabu wenzetu. Jiulize wasingekuwa Waislamu au waarabu wenzao wangewapigania!?
 
Wewe ndio unasema hayo. Lengo la Israel ni kuuwa kwa wingi raia ili kushinikiza Hezbollah na Hamas kusitisha vita ila Wananchi wamesema vita iendelee
Wewe Yahya Al Sinwar, watoto wako na mkewe umewaficha, wa wenzako wanateketezwa, mbaya sana wewe. Sema nakuonea wivu ,jinsi unavyojilia zako Mabikira 72!
 
Hujasikiliza hotuba ya Naim Qassim Katibu mkuu wa Hezbollah Leo katika hotuba yake? Amesema hawawezi kukaa pembeni kuangalia wapalestina zaidi ya elfu 40 wakiuliwa kwenye mahema ,sokoni na kwenye majumba Yao. Hii ndio sababu kuu , hata Iran na Yemen sababu inayowafanya kupigana ni hii kuokoa nafsi za wapalestina.

Inawezekana wewe unaona ni sawa tu kinachofanyika Gaza na Palestine lakini kiuhalisia it's not right
7/10/2023. Siku zote akina marehemu huwa wachokozi sana.
 
Wa
Hizi ni propaganda za aljazeera.
Ni fact toka vyombo vya habari vya Israel, hakuna mahala popote nilipo sema Aljazeera umeitaja wewe

7c61170a-7f14-11ee-9789-00163e02c055~2.jpg

Hili ndio eneo watu wengi waliokufa, watu wameunguzwa hata miwili haitambuliki, Hamas hawana Silaha yoyote inayoweza sababisha impact kama hii, kila mtu mwenye akili timamu anajua nani alichoma hili eneo.
 
Hapa kitu kinachoitwa ubinadamu ni kichaka TU cha kujifichia. Hao Hezbollah wanafanya hayo kwa kigezo cha dini yao (yaani wenzao katika Imani) na ile ya waarabu wenzetu. Jiulize wasingekuwa Waislamu au waarabu wenzao wangewapigania!?
Hela Hezbollah anapata wapi? Toka kwa wakristo wa Maronite Lebanon, Hezbollah anatetea waisilamu pekee? Hapana hadi wakristo wa Palestina, Israel wapo busy kufanya hivi vita vya kidini ila still unakuta watu wote wa huo ukanda bila kujali Dini zao wameungana na ni kitu kimoja.

Hao Wachungaji wa kikristo siku Iran amerusha makombora na wao wametoka wanashangilia, why wanashangilia? Sababu Israel analipua Makanisa yao na kuua Wachungaji na Mapadre,

Na waarabu kwa kiasi kikubwa tu wamezisaidia Nchi za ki Africa kupata uhuru, tatizo wengi humu vichwa vimejaa propaganda kuliko elimu.
 
Ni mpuuzi asie jitambua na mjinga pekee atawaponda hizbullah na Hamas wenye akili timamu tupo pamoja nao licha ya magumu wanayopitia bila israhell na marekani mashariki ya kati na duniani kwaujumla pangekua mahala salama Sanaaaaaaa
Nini kilimtuma ashambulie watu wa Israel last year October
 
Ifike mahali wakataliwe na Kila jamii na Dini zote wanasababisha miji mizuri Kama kuharibiwa

Labda MTU mwenye Sababu zenye akili za Hizbola kushambulia Israel azieleze hapa

Pia mwenye sababu za msingi za Iran kuichukia Israel na kutaka kuifuta kwenye ramani ya dunia na kumuundia vikundi vya kigaidi
Aleezea hapa

Tafauti na hapo tukubaliane na majibu ya Israel na WASHIRIKA wake ya Sasa na baadae

Beirut ilikuwa nzuri kabla haijavamiwa na Israel 1982.

Walikuwepo hezbollah 1982?
 
Ni mpuuzi asie jitambua na mjinga pekee atawaponda hizbullah na Hamas wenye akili timamu tupo pamoja nao licha ya magumu wanayopitia bila israhell na marekani mashariki ya kati na duniani kwaujumla pangekua mahala salama Sanaaaaaaa
We mwehu Nini.....[emoji1787]
 
Ni mpuuzi asie jitambua na mjinga pekee atawaponda hizbullah na Hamas wenye akili timamu tupo pamoja nao licha ya magumu wanayopitia bila israhell na marekani mashariki ya kati na duniani kwaujumla pangekua mahala salama Sanaaaaaaa
wewe inabid ukamatwe n gaidi
 
Ni mpuuzi asie jitambua na mjinga pekee atawaponda hizbullah na Hamas wenye akili timamu tupo pamoja nao licha ya magumu wanayopitia bila israhell na marekani mashariki ya kati na duniani kwaujumla pangekua mahala salama Sanaaaaaaa
Israle na marekani ndio walianzisha jihadi wakafyeka watu afghastan,pakistan,Egypt,libya,tunisia,algeriana moroco!
Kabla hujaongelea usalama jikumbushe jinsi uislam ulivo angamiza mamilion ya watu kwa upanga wa jihadi
 
Hawa jamaa wananifurahisi, yani wao hata gaidi mmoja ambaye wangeweza kumpiga risasi akafa, kwasasa wanatumia mabomu tu. Awe mmoja au nusu mtu wao ni bomu tu. Hahaha watakoma kuwachokoza.
 
Back
Top Bottom