Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Wewe gaidiMimi sio Gaidi.
Na hakuna akili timamu akakaa kanisani akaambiwa akaliwe kalio na me mwenzakeHakuna akili timamu anavaa suruali fupi na kusifia muoaji wa mtoto wa miaka 6
Ni mpuuzi asie jitambua na mjinga pekee atawaponda hizbullah na Hamas wenye akili timamu tupo pamoja nao licha ya magumu wanayopitia bila israhell na marekani mashariki ya kati na duniani kwaujumla pangekua mahala salama Sanaaaaaaa
MAtunda ya magaidi ni uharibifu tu na kurudisha nyuma maendeleo
Ila wewe usie kua na dini umekua mjinga zaidi yetuTatizo dini inawafanya muwe wajinga, ukizingatia hiyo dini imebuniwa juzi na kukuta zingine, inahubiri chuki na kuwachonganisha na dunia.
Hapa kitu kinachoitwa ubinadamu ni kichaka TU cha kujifichia. Hao Hezbollah wanafanya hayo kwa kigezo cha dini yao (yaani wenzao katika Imani) na ile ya waarabu wenzetu. Jiulize wasingekuwa Waislamu au waarabu wenzao wangewapigania!?Unavhokisema ni ukweli ila sio kwenye mgogoro huu. Hezbollah wamesimama kwenye haki. Wanawatetea binadamu wenzao wanaouliwa kila kukicha kama sisimizi tena kikatili.
Hakuna binadamu mwenye akili anaweza kuuwa binadamu wenzake kama Israel. Juu ya yote, anawamyima wapalestina hata chakula, maji na dawa. Analipua hadi hospitali, kambi za wahanga wa vita, shule za watoto wa primary, yani ni unyama uliokithiri.
Hata kama ingekuwa Kenya, Tanzania tungeyatimba kama Lebanon maana hatuwezi kamwe kumuona jirani yetu anauliwa bila huruma kama Israel wanavyowafanyia wapalestina. I stand with Lebanon despite the disastrous outcome
Pumzi inakupa kibri sanaTatizo dini inawafanya muwe wajinga, ukizingatia hiyo dini imebuniwa juzi na kukuta zingine, inahubiri chuki na kuwachonganisha na dunia.
Wewe Yahya Al Sinwar, watoto wako na mkewe umewaficha, wa wenzako wanateketezwa, mbaya sana wewe. Sema nakuonea wivu ,jinsi unavyojilia zako Mabikira 72!Wewe ndio unasema hayo. Lengo la Israel ni kuuwa kwa wingi raia ili kushinikiza Hezbollah na Hamas kusitisha vita ila Wananchi wamesema vita iendelee
Hayo majibu ni vyema ungeyaandika hapa, na sio kuleta mada juu ya mada.Mkuu swali zuri.
Majibu Haya hapa:
Iran, Hezbollah na wenzao mfano mzuri wa upendo wa Yesu Kristo aliyetufia msalabani
Aghalabu nikuombe sababu za msingi Yesu kuja kutufia wakosefu sisi huku duniani.
7/10/2023. Siku zote akina marehemu huwa wachokozi sana.Hujasikiliza hotuba ya Naim Qassim Katibu mkuu wa Hezbollah Leo katika hotuba yake? Amesema hawawezi kukaa pembeni kuangalia wapalestina zaidi ya elfu 40 wakiuliwa kwenye mahema ,sokoni na kwenye majumba Yao. Hii ndio sababu kuu , hata Iran na Yemen sababu inayowafanya kupigana ni hii kuokoa nafsi za wapalestina.
Inawezekana wewe unaona ni sawa tu kinachofanyika Gaza na Palestine lakini kiuhalisia it's not right
Ni fact toka vyombo vya habari vya Israel, hakuna mahala popote nilipo sema Aljazeera umeitaja weweHizi ni propaganda za aljazeera.
Hela Hezbollah anapata wapi? Toka kwa wakristo wa Maronite Lebanon, Hezbollah anatetea waisilamu pekee? Hapana hadi wakristo wa Palestina, Israel wapo busy kufanya hivi vita vya kidini ila still unakuta watu wote wa huo ukanda bila kujali Dini zao wameungana na ni kitu kimoja.Hapa kitu kinachoitwa ubinadamu ni kichaka TU cha kujifichia. Hao Hezbollah wanafanya hayo kwa kigezo cha dini yao (yaani wenzao katika Imani) na ile ya waarabu wenzetu. Jiulize wasingekuwa Waislamu au waarabu wenzao wangewapigania!?
Nini kilimtuma ashambulie watu wa Israel last year OctoberNi mpuuzi asie jitambua na mjinga pekee atawaponda hizbullah na Hamas wenye akili timamu tupo pamoja nao licha ya magumu wanayopitia bila israhell na marekani mashariki ya kati na duniani kwaujumla pangekua mahala salama Sanaaaaaaa
Beirut ilikuwa nzuri kabla haijavamiwa na Israel 1982.Ifike mahali wakataliwe na Kila jamii na Dini zote wanasababisha miji mizuri Kama kuharibiwa
Labda MTU mwenye Sababu zenye akili za Hizbola kushambulia Israel azieleze hapa
Pia mwenye sababu za msingi za Iran kuichukia Israel na kutaka kuifuta kwenye ramani ya dunia na kumuundia vikundi vya kigaidi
Aleezea hapa
Tafauti na hapo tukubaliane na majibu ya Israel na WASHIRIKA wake ya Sasa na baadae
Walebanoni wameua watoto wao makusudi watumike Kama Kinga ya vita kwa hizbola, kulinda magaidi na wewe ni gaidi na taarifa wakipewa na Israel
Israel ilitoa taarifa mapema ya kushambulia maeneo lakini wakaamua kubaki na wanawake wao na watoto ili wauawe iwe Kinga kwa Hizbola INgawa mbinu hii Israel imeilewa ndo maana hawataki kulea magaidi Nashauri UN ipige maarufuku kitendo hiki cha kikatili Cha kutumia watoto na wanawake Kama Kinga...www.jamiiforums.com
We mwehu Nini.....[emoji1787]Ni mpuuzi asie jitambua na mjinga pekee atawaponda hizbullah na Hamas wenye akili timamu tupo pamoja nao licha ya magumu wanayopitia bila israhell na marekani mashariki ya kati na duniani kwaujumla pangekua mahala salama Sanaaaaaaa
wewe inabid ukamatwe n gaidiNi mpuuzi asie jitambua na mjinga pekee atawaponda hizbullah na Hamas wenye akili timamu tupo pamoja nao licha ya magumu wanayopitia bila israhell na marekani mashariki ya kati na duniani kwaujumla pangekua mahala salama Sanaaaaaaa
Israle na marekani ndio walianzisha jihadi wakafyeka watu afghastan,pakistan,Egypt,libya,tunisia,algeriana moroco!Ni mpuuzi asie jitambua na mjinga pekee atawaponda hizbullah na Hamas wenye akili timamu tupo pamoja nao licha ya magumu wanayopitia bila israhell na marekani mashariki ya kati na duniani kwaujumla pangekua mahala salama Sanaaaaaaa
shangaz unaferMajaribio ya silaha yafanyiwe wapi kama sio huko?