Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Mapaka ni Marais wanaohamasisha ufisadi katika TaifaππππMAPAKA NI KUANZIA BABAYAKO NA LILE SHOGA LA UBERIGIJI NA MWISHO LILE GAIDI LILILO TOKA JELA JUZI HAYO NDIYO MAPAKA
HAYO MAUPUMBAVU YAKO KAWAAMBIE HAWA WANAODHANI WATANZANIA NI WAJINGA KAMA WAOMapaka ni Marais wanaohamasisha ufisadi katika Taifaππππ
View attachment 2187309
Halafu mashoga wanatokea CCMππππView attachment 2187311
Ndio maana nasema unakariri!Mwendazake ana mawakala,wewe ukiwa mmojawapo
Kwanini usifikirie kwamba Samia ndo kamchagua ili amuingize kingi.
Kwanini huwa mnajiona lesser?
Acha majungu wewe.Ndio maana nasema unakariri!
We jifikirie tu, unaanzaje kusema rais wetu aende USA then ajachague yeye nani azungumze nae!
Jifunze kufikiri hata kidogo, utapunguza kuongea kwa kukariri
Wew kweli ni mpumbavu( ashakβum sio tusi) .makamu wa Rais wa Marekani ni hadhi kubwa sana tena tushukuru Rais wetu ameheshimishwa kukutana na VP wa The US. Kusema Rais wa Marekani ana hadhi sawa na Rais wa Tz au nchi yoyote duniani ni kuwa mpumbavu au mtu uliyetawaliwa na chuki! Mathalani leo hii Biden na Ramaphosa( Rais wa nchi kubwa Afrika) wakienda China
Ni kwa sababu Huyu bibie ndo anatarajiwa kuwa Rais wa kwanza wa USA mwanamke baada ya Bidden kufia madarakani.So sioni tatizo kwani wote ni wamama na wote ni OPresidents in waiting ingawa mwenzi bado anasubiriDuru zinatabanaisha huenda Samia atakutana na Haris makamu wa Rais wa Marekani.
Maoni yangu;
Hii siyo dharau kwa Rais Samia kusakiziwa kukutana na mtu asiye sawia ki wadhifa wake?
Na kwanini asikutane na Biden ambaye siku hiyo atakuwa palepale White house?
Huenda Samia amepuuzwa na mamlaka za USA πΊπΈ?!
Tokea lini Rais wa Marekani akakutana na Mapaka yasiyojitambua?
Kuhamasisha ufisadi[emoji116][emoji205][emoji205][emoji205]
View attachment 2186906
Kuhamasisha kila kitu kipande bei[emoji116][emoji205][emoji205][emoji205]
View attachment 2186907
Dikteta maguofuli hakuwai kusafiri sababu ya lugha ilikuwa haipandi
Litakuwa jambo jema sana. Kuna mtu aliifanya JMT ionekane ni nchi ya ngiri na simba. Simba akiamua anawala ngiri atakavyo.Huko lazima wajadili "haki za kibinadamu", na Kamala alivyo wa moto Samia ajiandae.
Usiitweze ubinadamu wa mtu yeyote.Huyu siyo Rais wa jamhuri.Uliona wapi Rais wa jamhuri anahamasisha ufisadi katika Taifa?!Unakosea sana bwana mdogo
View attachment 2187306
Rais mwenziwe? Hata hapo kwa makamu wa rais ashukuru mno angeishia kwa makamu meya wa Washington.Duru zinatabanaisha huenda Samia atakutana na Haris makamu wa Rais wa Marekani.
Maoni yangu;
Hii siyo dharau kwa Rais Samia kusakiziwa kukutana na mtu asiye sawia ki wadhifa wake?
Na kwanini asikutane na Biden ambaye siku hiyo atakuwa palepale White house?
Huenda Samia amepuuzwa na mamlaka za USA πΊπΈ?!
Thubutuu, haiwezi tokeaKwanini usifikirie kwamba Samia ndo kamchagua ili amuingize kingi.
Kwanini huwa mnajiona lesser?
Tunapaswa kumkataa Samia kuwa ni Rais kwa sababu kama tutamkubali maana yake tunakuwa tunaruhusu na kubariki uharamia wa kupora chaguzi kuendelea kuwepo kitu ambacho kitatengeneza nchi ambayo itakuwa inaongozwa bila ya kuzingatia utawala wa sheria, kitu ambacho ni hatari sana in long run.Kuruhusu kitu kama hicho ni kwamba zao lake katika long run ni vita ya wenyewe kwa wenyewe kati ya wapenda haki na watu kama wewe ambao hawazingatii haki.Na ni uchaguzi huo huo ndio unaomfanya Samia awe Rais leo, lakini je, tumkatae kwa sababu ni zao la uchaguzi batili? Ukifanya hivyo, utarekebisha vipi makosa na ujbazi wote uliofanyika kwa miaka karibia 6?
Nchi nyingine kuwa na uharamia wa kupora chaguzi au Marais wake kuingia madarakani kupitia mapinduzi haiwezi kuhalalisha uharamia huo katika nchi nyingine.Two wrongs can't make right.Tukubali kuwa Samia ndiye Rais, tushirikiane naye kuleta mabadiliko. Asipotoa ushirikiano kwa wananchi, tumshinikize, lakini siyo kumkataa kwa namna yoyote ile. Kuna nchi, marais huingia kwa mapinduzi. Nani anakuwa amemchagua? Lakini si anajulikana kuwa ni Rais? Na anakuwa na nguvu zote?
Rais haramu ambae ametokana na zao la uporaji wa chaguzi hawezi kusimamia mageuzi katika nchi kwa sababu hana baraka za Mungu wala baraka za wananchi.Rais Samia, bila ya kujali ameingiaje, cha muhimu asimamie mageuzi makubwa yanayotakiwa kwa nchi yetu.
Marekani kaingiaje hapa?Sioni muunganiko.Rais wa kenya unamjua vizuri. Wewe marekani hanaga matashi mema na wanyonge kama hana maslahi. Ndo mana hutaskia wanawasumbua Paul wa Cameroon na Museveni.