Inauma sana; Mapenzi yaondoa uhai wa Francis Ngolle aliyezaliwa mwaka 1990

Inauma sana; Mapenzi yaondoa uhai wa Francis Ngolle aliyezaliwa mwaka 1990

Ni ukenge kupigania uchi wakati nyuchi nyingi tu mtaani! Kwanza wote wana akili a kipuuzi. Demu awazingue mpigane nyie! Mna akili nyie?? Na kutafuta wengine 6??? Inawezekana walikuwa hawajawahi kutomba so walikuwa bado wana mapenzi yq form 2.

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Ukimfumania mmeo/mchumba na demu mwingine, dili na mmeo/mchumba sio yule demu maana inawezekana hata hajui kama yuko na mali ya mtu.


Vivyohvyo hata ukimkuta mkeo na jamaa dili na mkeo sio yule jamaa.


Mwenye kosa ni yule mtu wako sio yule mwizi wako.
 
Tujifunze kutulia kama drama za mapenzi zinajitokeza. Nyingi zinaacha aibu. Tukifikiria sana baadae huwa hazina tija.

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Francis12 mbona sasa usiwe tuu verified user maana naona umeshajidhihirisha. Mwanzo sikuona jina juu ya uzi. Kiki imekuumbua.
 
Dah. Imenisikitisha sana.[emoji38][emoji38]

sent from iphone 7S
 
Wanawake siku zote ni we*** Hu wasiopaswa kuhurumiwa wakati mwingine kwa matendo yao.
 
Siku zote hata simba kijeba ndio hula tunda! Ukweli jamaa kakutana na kijeba .

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Unapigania mwanamke upo karne gani ,.. Aseeh, baada ya wanawake wakupiganie wewe daah anyway R. I. P Francis Ngolle
Mtu mwenyewe ukimuangalia eti ndio wa kupigana na mwanajeshi huyo! Kweli utoto umekuwa tatizo kwa watoto wa 90, si kujitakia kifo tu na ndio kilichompata, limalaya limebaki linaenjoi papuchi lake lisilokuwa na adabu tu!
R.I.P

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji274]
 
  • Thanks
Reactions: B40
iko hivibmwanamke ndio alimpigia mwanaume njoo mwanza unitembelee, mwanamke alikuwa anakaa peke yake licha ya kuwa na mimba, frans alifika asubuhi ya siku inayofuata maana mabus hulala njiani,, ndio akafikia nyumbani kwa mpenz wake akamkuta na mimba, sasa asubuhi ile wakati wanabishana yule msichana akatoka akaenda kumwambia yule jamaa aliyempa mimba kuwa frans amekuja kutoka dar lakini tunapishana kauli, jamaa akachukua wenzie watatu jumla wannne wakaenda nyumbani kwa mwanamke, wakamkuta frans kalala kwenye kochi ndipo walipoanza kumporomoshea kichapo hadi akapatwa na mauti
Haya maelezo yanathibitishwaje? Tusilolijua ni usiku wa kiza kama CCM
 
Hiki kifo kimeniuma sana, kijana na degree yake ya miamba, anaondoka bado mdogo kabisa, katika maisha emotinal intelligence ni kitu cha muhimu sana, ingawa ni ngumu pale angewakuta na akageuza zake na kuja tulia then angetafuta mwanamke mwingine. Yaani angejiambia it is not the end of the world, time heals, Life must go on no matter what.
Umeongea vizuri
 
Itakuwa alishamshtukia kuwa ana mahusiano mengine, ndo kaona akahakiki kumbe ni worse zaidi mpaka kapoteza uhai wake, kusema ukweli ukiwa na principles na on top iwe love your self first ndo mwingine afuatie. Unajua binadamu wote tunapatwa na changamoto tofauti yetu inakuja tu kwenye jinsi ya kuface hizo changamoto.
 

Attachments

  • IMG_20170712_152233.jpg
    IMG_20170712_152233.jpg
    217.8 KB · Views: 22
Dah. Poleni sana. Kuchanganya wanaume zaidi ya mmoja kimapenzi. Ni hatari sana. MUNGU nisaidie yasinikute

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom