chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,764
- 2,559
Kifo cha kijinga kabisa...RIP dogo
Sent from my GT-I8190 using JamiiForums mobile app
Sent from my GT-I8190 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshua alikuwa anatengeneza TV nyingi sana za kitaa.Nico Ngole unamfahamu?
Mshua wao alikuwaga mwalimu pale Dar Tech....kama sijakosea.
Yup....that's him.Mshua alikuwa anatengeneza TV nyingi sana za kitaa.
TV ikiharibika ikienda kwa Mzee Ngole watoto wanakunja vidole ipone mapema waende kuangalia "Yo! MTV Raps".
Yeah. Mshua poa sana.Yup....that's him.
Been to there house/ flat plenty of times.
Nakumbuka mshua wao alikuwa na ki Beetle...VW.
Hapana. Yaani anisaidie nisije Fanya hivyo katika maisha yanguKwani unachanganya mama??
Ni hatari sana
Cc Smart911
Sent from Mrs Smart911 using JamiiForums mobile app
K nazo bhana... zimezidi kuwa tamu sana bhana...
Likitu lina sura mbaya lakini tamuuu...
Mkiongeza na mbwembwe zenu sasa... ama kweli mchukia K hanithi.
RIP shujaa wa kupigania K...
Tupe ukweli na uhakika !rip roommate wangu ,niliacha shughuli zangu zote tangu siku ya kwanza ulipofariki nikafunga safari hadi mbagala kisimani kwa daud, juzi usiku nilikwenda airport kuupokea mwili wako toka mwanza jana nimekudress mwili wako pale temeke hospitali ,nashindwa hata kuendelea...... ila jaman kwanini sababu ya kifochake inapotoshwa potoshwa sana jamani roho inaniuma sana
i am proud of youKama mtu humtaki si umwambie tu muachane kuliko kumfanyia ivyo mtoto wa mwanamke mwenzio. Wanawake muda mwingine tunajiona ni watu special sana kama mtu anakupenda sana.
Wanaume wana roho ndogo sana when they are in love. Tusiwanyanyase wakitupenda
Mrs Van
Mkuu Francis Ngole amefariki...Labda wewe unamzungumzia Francis Mwingine....Hii sio kiki ni real amefariki...Francis12 mbona sasa usiwe tuu verified user maana naona umeshajidhihirisha. Mwanzo sikuona jina juu ya uzi. Kiki imekuumbua.
Ulitaka kuandika nini we jike la Simba?Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
Kumuamini mtu sana ndio kunakowaletea watu matatizo. Ukiwa na dhana ya kwamba lolote linaweza kutokea kutoka kwa mpenzi wako unakuwa ni risk taker na hata pale unapojionea ukisalitiwa na mpenzi wako akili inaona sio jambo geni kwa sababu tayari ilishalifanyia kazi hivyo unakuwa na uwezo wa kuzitawala hisia zinazoweza kukusukuma uchukue hatua ambayo inaweza kuwa kinyume na matarajio yako.Hiki kifo kimeniuma sana, kijana na degree yake ya miamba, anaondoka bado mdogo kabisa, katika maisha emotinal intelligence ni kitu cha muhimu sana, ingawa ni ngumu pale angewakuta na akageuza zake na kuja tulia then angetafuta mwanamke mwingine. Yaani angejiambia it is not the end of the world, time heals, Life must go on no matter what.
Mkuu hujaelewa post yangu. Namaanisha mtoa mada ndo kajiumbua kwa kuweka jina lake halisi kwenye huu uzi.Mkuu Francis Ngole amefariki...Labda wewe unamzungumzia Francis Mwingine....Hii sio kiki ni real amefariki...