Katika moja Kati ya vitu vinavyoturudisha Sana Nyuma wanaume ni K, especially Kwa wanaume ambao kwa asili Yao hawawezi kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja.
Tunawahi Sana kujicommit Kwa Hawa viumbe, gharama nyingi tunaingia hata kabla hatujahalalishwa, inapotokea usaliti, hasira zinazidi Busara, liwalo na liwe matokeo yake unaua ama kupoteza maisha bila kutegemea.
Mimi ni mwanaume, siwezi kumtukana Marehemu zaidi ya kumuombea Apumzike Salama.
Mapenzi yana ladh zote, Tamu na Chungu. It is only time that will make you realize the difference.
Ukiwa kicheche utakufa Kwa maradhi, Ukiwa nae mmoja utakufa Kwa Presha, ama hivyo kupigwa. Nyeto hatari Kwa Afya! Dah!!! [emoji17] Kikichobaki ni kuomba Mungu tuu, akuonyeshe njia ukipasayo kupita, ili uweze Ku enjoy Pumzi ulobarikiwa nayo.
RIP Man. Njia ndio hiyo hiyo. Wote tutaipita Kwa sababu zetu
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app