Inauma sana; Mapenzi yaondoa uhai wa Francis Ngolle aliyezaliwa mwaka 1990

Angechukulia poa tu aje alie weee miezi sita machungu yaishe atafute mwingine sio kupigana. Mi nilienda siku moja enzi hizo tuna mgogoro ambao hauna P. O. BOX ila mwenzangu kanichunia 100% miezi 3 nkabembeleza nikachoka siku moja nikajifanya napita nkabisha hodiiii weee nlikuta mtu anaosha vyombo na mbinjuo wake kichwani. Nikawasalimu kama mpita njia nikasema napita tu jamani dada wawatu wala hakushtuka. Juzi chege alivyotoa wimbo acha waoane nkakumbuka walioana na walishaachana. Sasa ooohhh madam ujue nilirubuniwa na msichana wa kazi wa mtu akaniigizia kumbe kaficha makucha najuta rudisha moyo.
Nikamuambia ungekuta mambo mazuri miaka 10 usingenikumbuka sasa kwakuwa alikuwa housegirl kwa mtu na mmeshindwana basi muajiri hapo kwako oa mwingine mimi hakaaa nimetulia kivingine.
 
Nina hasira ngoja nikae kimya mana naweza toa neno nikawakwaza wanawake

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
Askari wa nao wakaguliwe vyeti sasa

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
si angewaacha tu ye akarudi dar...wanawake wapo wengi!
pole yake.
Mambo ya kuanza kupigana kwa mtu uliye mfumania ni ujinga,wanawake wapo kibaaaaao.

"the highest risk should give maximum profit"
 
Nipo mwanza ngoja niende msibani

Rest in peace brother.......na nmejifunza kutoka kwako............*** ONCE SHE PUT YOU DOWN LET HER GO***
 
Anaandika Respicius Francis
________________________________________

Mapenzi yaondoa uhai wa Francis Ngolle aliyezaliwa mwaka 1990.

[HASHTAG]#Huyu[/HASHTAG] kijana namfahamu sana na tumewahi kukutana nae mara tatu mara ya kwanza nilikutana nae nyumbani kwao na mara mbili nikutana nae mtaani.

[HASHTAG]#Juzi[/HASHTAG] nilipata habari kuwa kijana mmoja kutoka maeneo ya mtaani kwetu ameuawa huko Mwanza alipoenda kumtembelea mchumba wake huko Mwanza akitokea Dar Es Salaam lakni kwa bahati mbaya alimkuta mchumba akiwa na mwanaume mwingine chumbani, Inasemekana huyo mwanaume aliyemkuta chumbani akiwa na mchumba wake ni askari kwahiyo mapambano yalianza ambapo mwanamke alikimbia na kuacha wanaume wakipigana.

[HASHTAG]#Mwanamke[/HASHTAG] aliporudi alikuta Francis Ngolle tayari amepoteza maisha ,Sasa haijulikani alipewa kipigo cha aina gani mpaka kusababisha kupoteza uhai.

[HASHTAG]#Lakini[/HASHTAG] cha kusikitisha sana mchumba wa Francis Ngolle mimi binafsi mfahamu sana na mara nyingi tumewahi kukutana kwenye kikundi chetu cha dini cha {VIWAWA] enzi hizo kabla ya huyu dada ajaenda kikazi mwanza lakini sikujua kabisa kama wana uchumba na FRANCIS NGOLLE

[HASHTAG]#Lakini[/HASHTAG] cha kusikitisha zaidi Francis Ngolle na huyu mchumba wake hapa dar Es Salaam wanaishi karibu sana siyo mbali sana kwa lugha nyingine wanaishi karibu na mimi pia.

[HASHTAG]#Francis[/HASHTAG] Ngolle alikuwa tayari amejitamburisha kwa wazazi wa mchumba wake kwahiyo wazazi wa pande zote mbilli walikuwa wanatambua pia.

[HASHTAG]#Kinachotia[/HASHTAG] simanzi zaidi wazazi Francis Ngolle na Mchumba wake hapa Dar es Salaam wanasali kanisa moja##

[HASHTAG]#Francis[/HASHTAG] Ngolle bila kujua kama anaenda kupoteza maisha anafunga safari kwenda kwa mchumba wake huko mwanza lakini anakuta mchumba wake ana bwana mwingine chumbani ,Mapambano yanaanza na mwisho wa siku anapoteza maisha.

[HASHTAG]#Muda[/HASHTAG] huu nimetoka msibani hakika ni majonzi makubwa sana nimejaribu kuangalia maiti yake wakati nikitoa heshima za mwisho inaonekana alipigwa sana ,Utafikiri ni mtu aliyepata ajali mbaya.

R.I.P Francis NgolleView attachment 540970

it's not fair why uweke picha yake humu?hata ndugu zake hawarafurahi tuheshimu privacy ya mtu,so sad!
 
Kisaa kilee kishimo..!??? Aiseee hapo me ningepotezea ilaa sasa ningewalaaa mpaka wakomee...ni minyoosho tu Muda wa kupendana ushaishaa..!! Nawapenda ndugu inatosha

Sent from my Z30 using JamiiForums mobile app
 
Upumbavu wake!
Vifo vingine vya kujitakia.
Unapigana kisa K??
Tena K isiyo ya mkeo halali
Alazwe mahali anapostahili.Amen!
K nazo bhana... zimezidi kuwa tamu sana bhana...

Likitu lina sura mbaya lakini tamuuu...

Mkiongeza na mbwembwe zenu sasa... ama kweli mchukia K hanithi.

RIP shujaa wa kupigania K...
 
Huyu ana undugu na kina Nico Ngole waliokuwa wanakaa ma flat ya Drive Inn Dar?

R.I.P

Wadogo zetu wanafariki wadogo sana. Bikira wa Kisukuma then huyu.

Sent from my Kimulimuli

Nico Ngole unamfahamu?

Mshua wao alikuwaga mwalimu pale Dar Tech....kama sijakosea.
 
Back
Top Bottom