MAPUMA MIYOGA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,792
- 2,365
Nimeiona huko ameiandika mikononyumaMbona kama ilishaletwa humu jana hii au sio francis huyu. [emoji15] [emoji116]
Enyi Wanawake Muogopeni Mungu
Pamoja mkuumkuu chukua chupa mbili za wine nitalipa
Mtu mwenyewe ukimuangalia eti ndio wa kupigana na mwanajeshi huyo! Kweli utoto umekuwa tatizo kwa watoto wa 90, si kujitakia kifo tu na ndio kilichompata, limalaya limebaki linaenjoi papuchi lake lisilokuwa na adabu tu!Unapigania mwanamke upo karne gani ,.. Aseeh, baada ya wanawake wakupiganie wewe daah anyway R. I. P Francis Ngolle
Haya maelezo yanathibitishwaje? Tusilolijua ni usiku wa kiza kama CCMiko hivibmwanamke ndio alimpigia mwanaume njoo mwanza unitembelee, mwanamke alikuwa anakaa peke yake licha ya kuwa na mimba, frans alifika asubuhi ya siku inayofuata maana mabus hulala njiani,, ndio akafikia nyumbani kwa mpenz wake akamkuta na mimba, sasa asubuhi ile wakati wanabishana yule msichana akatoka akaenda kumwambia yule jamaa aliyempa mimba kuwa frans amekuja kutoka dar lakini tunapishana kauli, jamaa akachukua wenzie watatu jumla wannne wakaenda nyumbani kwa mwanamke, wakamkuta frans kalala kwenye kochi ndipo walipoanza kumporomoshea kichapo hadi akapatwa na mauti
Umeongea vizuriHiki kifo kimeniuma sana, kijana na degree yake ya miamba, anaondoka bado mdogo kabisa, katika maisha emotinal intelligence ni kitu cha muhimu sana, ingawa ni ngumu pale angewakuta na akageuza zake na kuja tulia then angetafuta mwanamke mwingine. Yaani angejiambia it is not the end of the world, time heals, Life must go on no matter what.
Itakuwa alishamshtukia kuwa ana mahusiano mengine, ndo kaona akahakiki kumbe ni worse zaidi mpaka kapoteza uhai wake, kusema ukweli ukiwa na principles na on top iwe love your self first ndo mwingine afuatie. Unajua binadamu wote tunapatwa na changamoto tofauti yetu inakuja tu kwenye jinsi ya kuface hizo changamoto.
Kajitakiaje. Wakati wazazi wa mwanamke wanamfahamuHata angekuwa mkeo taarifa mhimu utakuja kufa kwa presha r.i.p Francis Ngolle japo kifo umejitakia
Kwa Mwanamke ulie mpenda kwa dhati. Kama alivyompenda marehemu, Utakuwa upo tayari hata kufa. Yaheshimu sana mapenziHivi nitaanzaje kupigania mwanamke??
Kwanini hakutoa taarifaKajitakiaje. Wakati wazazi wa mwanamke wanamfahamu
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app