Inauma sana na haivumiliki

Na ndivyo tulivyo wanaume mbona hata nyie tunawosemeshaga kwa shida na vipesa vyetu vya kudunduliza mkitoboa baada ya kupata kazi na kuanza kutom**wa na maboss mnaanza dharau
 
Wanasemaga ukitaka kujua tabia halisi za mwanaume ngoja apate pesa, akishazipata hakuna rangi utaachana kuona.

Mleta mada pole Sana kwa kupigwa tukio zito na. mumeo
 
Wew single maza

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Mkuu mwanamke kuwa single Maza sio kuwa anapenda. Wanawake wanapitia mambo mengi sana magumu katika mahusiano, hivyo ni vema kufahamu kuwa kila mwanamke ana ndoto ya kuwa na mwanaume bora na Baba bora wa familia,
Lakini yakitokea ya kutokea huumiza na kujeruhi sana mioyo yao.

Kwa sasa sio rahisi kuelewa kuhusu hilo, lakini utaelewa zaidi kuhusu hilo endapo litatokea kwa mtu wako wa karibu either dada yako, binadamu yako, au hata mtoto wako endapo utakuja kujaliwa kupata mtoto wa kike, hapo ndio utakuja kujua sonana ya hili jambo.
 
Are you serious or you’re being sarcastic?

“Vyovyote vile hutakiwi kuachwa “……per who/what?
 
Are you serious or you’re being sarcastic?

“Vyovyote vile hutakiwi kuachwa “……per who/what?
Per the law of being in control of matters of the heart.

Hutakiwi kuachwa, na ikitokea umeachwa, hutakiwi kulalamika.

Ukilalamika unahalalisha zaidi kuachwa.

Wewe unakuwa si tu huna mvuto mpaka umeachwa, bali pia mlalamishi, ukiachwa hujui kukubali matokeo, unalalamikia watu kutumia haki zao za kibinadamu za kukuacha.

Una king'ang'anizi.

King'ang'anizi ni kitu kibaya sana.

Penda unapopendwa. Usipopendwa sepa zako.
 
Mapenzi ni hiari! Hayalazimishwi.

But, by the same token, there’s no need to be vindictive.

Yes, it hurts. Especially when you’ve done so much for someone, in the name of love, only to get jilted down the road.

Such is life, sometimes. Just keep it moving. It’s not the end of the world.
 
Mapenzi hayana formula.

Na ni rahisi sana kuyatolea maoni mapenzi ya watu wengine na kutafuta kila aina ya dosari na kutoa kila aina ya ushauri.

Cha muhimu zaidi ni mtu kuendelea na maisha yake bila hisia mbaya za kutaka kumdhuru mwenzake.

Nje ya hapo, mtu ana haki ya kujisikia vile hisia zake zinavyomtuma, hususan kama aliwekeza mengi kwenye huo uhusiano.
 

Nina Simone once quipped. What is love anyway but a prelude to sorrow.

Naam, naelezea yangu, kanuni zangu zinazonisimamisha na ambazo sijawahi kuzijutia.

It's stupid to force love.

Zaidi, hapo kwenye kutaka kumdhuru mtu ndipo nilipopapigia mstari.

Ukitaka kumdhuru mtu kwa sababu kakuacha, unahalalisha kuachwa.

Yani kama kulikuwa hakuna sababu ya kukuacha mtu anaweza kusema "mnaona, this is an unstable psycho, that is why I left him/her".

Hakuna haja ya kulazimisha mapenzi.

Penda unapopendwa, usipopendwa sepa zako.

One may be entitled to love, but not from just anyone.
 
Mkuu, inaonekana ina positive mind set na jambo ili, nina swali kwako mkuu, unaweza kuoa mwanamke mwenye mtoto?ukampenda mwanae,ukamhudumia na kumsomesha kama wako?
 
Yes I can do that for 💯
Mkuu, inaonekana ina positive mind set na jambo ili, nina swali kwako mkuu, unaweza kuoa mwanamke mwenye mtoto?ukampenda mwanae,ukamhudumia na kumsomesha kama wako?
 
My dear, mwachie Mungu. Mungu ndiye mwamuzi wa haki.
Hayo mengine achana nayo.
Mungu huamua kwa haki kwa wasio wazinzi.Angekuwa ndani ya ndoa tungemuachia Mungu.Tusimuingize Mungu kwenye maamuzi aliyoshirikiana na Shetani
 
Kwani lazima akuoe wewe? Kaona sio wife material , kaenda kwingine shukuru Kwa Kila jambo
 
Inawezekana kipindi hana kitu ilikuwa unamdharau.
 
Mungu huamua kwa haki kwa wasio wazinzi.Angekuwa ndani ya ndoa tungemuachia Mungu.Tusimuingize Mungu kwenye maamuzi aliyoshirikiana na Shetani
Baada ya matokeo ndio wanakuja mbele za Mungu kutaka huruma yake, ila kipindi wanazini na hawajaoana walikua hawajui kwamba uzinzi ni kosa mbele ya Mungu...
 
Na mimi haka ka mke kangu kananisumbua kweli siku hizi toka nikapatie ajira millenium pale unaonaje tuwakomeshe kwa kuwa wote ili nao waumie
 
Na mimi haka ka mke kangu kananisumbua kweli siku hizi toka nikapatie ajira millenium pale unaonaje tuwakomeshe kwa kuwa wote ili nao waumie
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…