Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Kamkanye aliyekutotoa, kwanza hata babaako halisi unamjua?? 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamkanye aliyekutotoa, kwanza hata babaako halisi unamjua?? 🤣🤣🤣
Mkuu mwanamke kuwa single Maza sio kuwa anapenda. Wanawake wanapitia mambo mengi sana magumu katika mahusiano, hivyo ni vema kufahamu kuwa kila mwanamke ana ndoto ya kuwa na mwanaume bora na Baba bora wa familia,
Are you serious or you’re being sarcastic?Ukiachwa hilo ni kosa lako.
Ama umemkubali mtu ambaye si sahihi tangu mwanzo. Kosa lako.
Ama mtu alikuwa sahihi mwanzo akabadilika, ukashindwa kumuacha wewe kwanza. Kosa lako.
Ama mtu sahihi, ila kakuchoka tu. Kosa lako.
Vyovyote vile hutakiwi kuachwa.
Ukiachwa usilalamike. Tafuta mwingine tu.
Kwa sababu, kuachwa ni kosa lako.
Bila kujali wewe ni mwanamke au mwanamme. Bila kujali unahudumia au unahudumiwa.
Unatakiwa kuwa na mvuto mkali sana kiasi kwamba wewe tatizo lako liwe ukiingia kwenye mahusiano watu hawataki kuachana nawe.
Yani wao ndio wawe wanalazimisha mahusiano na wewe, sio wewe unalazimisha mahusiano na wao.
Ukiachwa ujue ushazembea sehemu hapo.
Jitafute ujiongeze mwenyewe bila kutaka kumdhuru mtu.
Per the law of being in control of matters of the heart.Are you serious or you’re being sarcastic?
“Vyovyote vile hutakiwi kuachwa “……per who/what?
Mapenzi hayana formula.Per the law of being in control of matters of the heart.
Hutakiwi kuachwa, na ikitokea umeachwa, hutakiwi kulalamika.
Ukilalamika unahalalisha zaidi kuachwa.
Wewe unakuwa si tu huna mvuto mpaka umeachwa, bali pia mlalamishi, ukiachwa hujui kukubali matokeo, unalalamikia watu kutumia haki zao za kibinadamu za kukuacha.
Una king'ang'anizi.
King'ang'anizi ni kitu kibaya sana.
Penda unapopendwa. Usipopendwa sepa zako.
Mapenzi hayana formula.
Na ni rahisi sana kuyatolea maoni mapenzi ya watu wengine na kutafuta kila aina ya dosari na kutoa kila aina ya ushauri.
Cha muhimu zaidi ni mtu kuendelea na maisha yake bila hisia mbaya za kutaka kumdhuru mwenzake.
Nje ya hapo, mtu ana haki ya kujisikia vile hisia zake zinavyomtuma, hususan kama aliwekeza mengi kwenye huo uhusiano.
Mkuu, inaonekana ina positive mind set na jambo ili, nina swali kwako mkuu, unaweza kuoa mwanamke mwenye mtoto?ukampenda mwanae,ukamhudumia na kumsomesha kama wako?Mkuu mwanamke kuwa single Maza sio kuwa anapenda. Wanawake wanapitia mambo mengi sana magumu katika mahusiano, hivyo ni vema kufahamu kuwa kila mwanamke ana ndoto ya kuwa na mwanaume bora na Baba bora wa familia,
Lakini yakitokea ya kutokea huumiza na kujeruhi sana mioyo yao.
Kwa sasa sio rahisi kuelewa kuhusu hilo, lakini utaelewa zaidi kuhusu hilo endapo litatokea kwa mtu wako wa karibu either dada yako, binadamu yako, au hata mtoto wako endapo utakuja kujaliwa kupata mtoto wa kike, hapo ndio utakuja kujua sonana ya hili jambo.
Mkuu, inaonekana ina positive mind set na jambo ili, nina swali kwako mkuu, unaweza kuoa mwanamke mwenye mtoto?ukampenda mwanae,ukamhudumia na kumsomesha kama wako?
Mungu huamua kwa haki kwa wasio wazinzi.Angekuwa ndani ya ndoa tungemuachia Mungu.Tusimuingize Mungu kwenye maamuzi aliyoshirikiana na ShetaniMy dear, mwachie Mungu. Mungu ndiye mwamuzi wa haki.
Hayo mengine achana nayo.
Kwani lazima akuoe wewe? Kaona sio wife material , kaenda kwingine shukuru Kwa Kila jamboUnakuwa na mahusiano na mtu kipato cha chini
umeamua kumpenda na kumvumilia jinsi hali yake yamaisha ilivyo mnavuka mabonde vichaka na milima kwa pamoja dharau kejeli na maneno ya hovyo kutoka kwa ndugu kisa uliyenae hohehae.
hata zile salamu kutoka kwa ndugu hakuna unaamua kuziba masikio ukiamini ipo siku mungu atafungua milango kwa huyo ulie nae shida inakuja mwanaume akisha jipata nyumban hapakaliki kutwa kiguu na njia na wanawake wengine mwisho wa siku anakuja kuoa mwanamke mwingine.
Je, mwanaume wa namna hii utamfanya nini kumshusha busha kumtafutia wahuni wafanye yao au utamwacha aiende ukiangalia kakupotezea muda?
Inauma kwakweli
Baada ya matokeo ndio wanakuja mbele za Mungu kutaka huruma yake, ila kipindi wanazini na hawajaoana walikua hawajui kwamba uzinzi ni kosa mbele ya Mungu...Mungu huamua kwa haki kwa wasio wazinzi.Angekuwa ndani ya ndoa tungemuachia Mungu.Tusimuingize Mungu kwenye maamuzi aliyoshirikiana na Shetani
Unakuwa na mahusiano na mtu kipato cha chini
umeamua kumpenda na kumvumilia jinsi hali yake yamaisha ilivyo mnavuka mabonde vichaka na milima kwa pamoja dharau kejeli na maneno ya hovyo kutoka kwa ndugu kisa uliyenae hohehae.
hata zile salamu kutoka kwa ndugu hakuna unaamua kuziba masikio ukiamini ipo siku mungu atafungua milango kwa huyo ulie nae shida inakuja mwanaume akisha jipata nyumban hapakaliki kutwa kiguu na njia na wanawake wengine mwisho wa siku anakuja kuoa mwanamke mwingine.
Je, mwanaume wa namna hii utamfanya nini kumshusha busha kumtafutia wahuni wafanye yao au utamwacha aiende ukiangalia kakupotezea muda?
Inauma kwakwel
Na mimi haka ka mke kangu kananisumbua kweli siku hizi toka nikapatie ajira millenium pale unaonaje tuwakomeshe kwa kuwa wote ili nao waumieUnakuwa na mahusiano na mtu kipato cha chini