Inauma sana na haivumiliki

Kwani Ndoa ni vita?
 
We inaonekana huna kifua 😁

Ya kale ni ya kale na unapaswa kuanzia pale mlipoanzia. Ya kale huko na ma-ex zake wa chuoni na kwingineko we yanakuhusu nini?
😅 😅 😅

Alinyonya mashine, aliirudisha ndani ilivochomoka, alikubali kuishi na mchizi bila ndoa.

Ila baada ya kukutana na wewe ndio anaanza kujiona ana akili.

Mfano mleta hii mada ameshamsamehe mtu asiye serious na malengo na nane kwa miaka, akija kukutana na mtu mwingine ataanza kumwambia wasahau ya nyuma wakati alileta mada hadi huku.

Kwenye mahusiano msigusie hadithi za nyuma kabisa
 
Mshukuru Mungu sana,
Huenda amekutua mzigo mzito sana ambao ungekulemea na kukutesa zaidi huko mbeleni maisha yako yote yaliosalia hali yakua anataka na amekupangia ufurahi....

Huenda amekuepusha na shari nzito mathalani laana, maradhi ambayo yangeletwa ndani yako wewe binti mrembo usie na hatia na huyo asie mwaminifu aliekupotezea time yako na kukuchelewesha kukutana na aliepangwa kwaajili yako rasmi....

Licha ya kwamba huenda mmeshiriki dhambi nyingi tu mathalani uasherati au uzinzi, bado nafasi ya kutubu na kuomba msamaha kwa Mungu ipo, ili hatimae yule alie andaliwa kwaaajili yako asogee mahali ambako na wewe unafika sana ili kusudi kwa Neema na Baraka za Mungu muunganike katika upendo wa kweli na wa dhati.....

kumbuka, mlango A ukifungwa bilashaka mlango B na pemgine C na D huwa iko wazi ni suala na ufahamu na uelewa tu....

Pole sana, huna haja ya kubabaika wala kuzubaa na asie mwaminifu kwako...

nakutakia kila lililo jema......
 
Mwanamke anaposema anamvumilia mwanaume anakuwa anamaanisha nini?

Kuna utoto mwingi katika falsafa za MAISHA kwa wanawake wakibongo

Unamvumiliaje MTU unamdai ? Au ulimkopesha ?

Mwanaume huwezi kumvumilia hizo ni kauli za kitoto ambazo hazina uhalisia


Tukija katika jambo lako unabidi kujua na kuelewa kuwa Mwanaume anapokuwa broke anakuwa anakuvumilia wewe na sio wewe kumvumilia yeye

That's why alivyojipata uvumilivu wa kuwa na mke mmoja umemshinda achilia mbali kukuoa.


So fungueni akili na sio mapaja
 
Tenda wema nenda zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…