Uchaguzi 2020 Inauma sana, nasikiliza matokeo hapa nahisi kama roho inataka kutoka

Uchaguzi 2020 Inauma sana, nasikiliza matokeo hapa nahisi kama roho inataka kutoka

Hatuvimbi baba! Tunasema tu baba, nchi yetu sote hii tunastahili kusema pia!

Magufuli ni tatizo kubwa kwa nchi hii kwasasa!

Na hii imetokana na akili ndogo za Kikwete kutoona mbali, akatuachia jitu ovu kabisa na lisilo na chembe ya haya
Tatizo kubwa kwa upande wako blaza kwangu sio tatizo ni solution
 
Uchaguz kama bongo fleva tu..bila promo ngumu kutoboa...ccm walikua na promo ya tembo wenzao promo ya sisimiz..so itakua wameshinda kweli

Lakin cha kujiuliza..wa tz tunaelewa maana na faida ya vyama vya upinzani nchini?...mim ni ccm ....kwa raisi naunga mkono 100%

Ila kwa wawakilishi..Mps...hapana...totaly wrong kuwa na bunge zima chama kimoja..ni hatar kwa taifa.....tho naamini mzee baba atawaonyosha hata hao wabunge wa chama chake
 
Usifananishe maumivu ya roho kutoka na mambo ya kipuuzi mkuu
 
Yaani nasikiliza matokeo hapa nahisi kama roho inataka kutoka.

Chama chochote cha upinzani kupata hata kiti kimoja bungeni ni ndoto labda iwe kwa kuridhisha tu wanananchi kuwa kuna demokrasia😡😡😡

Tuendelee tu kukamilisha ratiba.
Kuna kata moja Chamwino imetia fora imechagua ACT kwa mkuu .
 
Back
Top Bottom