Uchaguzi 2020 Inauma sana, nasikiliza matokeo hapa nahisi kama roho inataka kutoka

Uchaguzi 2020 Inauma sana, nasikiliza matokeo hapa nahisi kama roho inataka kutoka

Nilipoona hadi wanaume wa upinzani wanamtetea Tundu kuhusu matamko yake yaliyohusu ushoga niliiona taabu kubwa ambayo inaenda kuupata upinzani wa nchi hii
Wapinzani hawana tone la uzalendo, wanaitaka dola iwe kwa gharama yoyote Ile..... iwe kuuza nchi au kuanzisha Kizazi cha mashoga na wasagaji wao powa tuu
Mashoga na Wasagaji nao walizaliwa kama wewe,
Tena bora hata wao wanajielewa kuliko wewe mtu mzima halafu unakua hovyo,

#Panic at your own risk#
Lol.
 
MALIPO YA DHULUMA NI LAANA NA KIFO

LAANA YA MUNGU IWAPATE WOTE WALIOSHINDA KWA DHULMA NA WIZI

BARAKA ZA MUNGU ZIAMBATANE NA WALIOSHINDA KIHALALI NA WALIO TAYARI KUWATUMIKIA WANANCHI
 
Yaani nasikiliza matokeo hapa nahisi kama roho inataka kutoka.

Chama chochote cha upinzani kupata hata kiti kimoja bungeni ni ndoto labda iwe kwa kuridhisha tu wanananchi kuwa kuna demokrasia😡😡😡

Tuendelee tu kukamilisha ratiba.
Na BADO.. mtajinyea bora mzime TV mlale Mbwa wa Khaki
 
Upinzani walishauriwa vizuri, wasiingie kwenye uchaguzi kwa hii tume ya uchaguzi. Kikwete aliwabeba mnoo.
Wafuasi wa Upinzani humu JF tumekuwa tukiwashauri kuwakemea viongozi kwa maneno na matendo yao maovu kwa viongozi wa Serikali, hamkusikia.

Tuliwaasa kuacha lugha ya matusi, ndio ikawa kama tumewachochea.

Tukawaambia ukweli mkaubadilisha kuwa uwongo na uwongo wenu uwe ukweli.

MWANA KULITAFUTA MWANA KULIPATA
 
Mashoga na Wasagaji nao walizaliwa kama wewe,
Tena bora hata wao wanajielewa kuliko wewe mtu mzima halafu unakua hovyo,

#Panic at your own risk#
Lol.

Punguza povu
Jifunze kuchambua mambo, kuchochea vijana na kuwapa hamasa ya kuwa wasagaji au mashoga sio sawa.
Tofautisha kati ya wale homosexual kwa kuzaliwa na hawa aliotaka kuanza kuzalisha Tundu
Ukweli mnaujua ila mnajitoa ufahamu
Mfyuuuuu
 
Yaani nasikiliza matokeo hapa nahisi kama roho inataka kutoka.

Chama chochote cha upinzani kupata hata kiti kimoja bungeni ni ndoto labda iwe kwa kuridhisha tu wanananchi kuwa kuna demokrasia😡😡😡

Tuendelee tu kukamilisha ratiba.
Vyama pinzani tunaomba mtoe tamko kwa nini mtanzania niumie hivi kwa uhuni wa kikundi cha watu Niko tayari kwa lolote sasa
 
Wenzenu CCM walipiga kampeni za shuka kwa shuka, kitanda kwa kitanda. Nyie mkabaki kupiga kampeni hapa JF ndio matunda hayo.
Huo ndiyo ukweli na kosa lingine walisahau Lisu ni mbinafsi mno hivyo yeye alikuwa akipiga kampeni kama mgombea binafsi. Ccm walijipanga mtu tatu kwa msemo wa kiimani ulikuwa kama utatu mtakatifu na kwa upande wa wahenga ni mafiga matatu
 
Punguza povu
Jifunze kuchambua mambo, kuchochea vijana na kuwapa hamasa ya kuwa wasagaji au mashoga sio sawa.
Tofautisha kati ya wale homosexual kwa kuzaliwa na hawa aliotaka kuanza kuzalisha Tundu
Ukweli mnaujua ila mnajitoa ufahamu
Mfyuuuuu
mama D huyo Ni msagaji na alishasema kwenye jukwaa la mahusiano so usishangae yeye kuwatetea kwasababu Ni wenzake
 
Yaani nasikiliza matokeo hapa nahisi kama roho inataka kutoka.

Chama chochote cha upinzani kupata hata kiti kimoja bungeni ni ndoto labda iwe kwa kuridhisha tu wanananchi kuwa kuna demokrasia😡😡😡

Tuendelee tu kukamilisha ratiba.
Hawa GHASIA KAANGSHWA MTWARA. Ndo mkome siasa za kukariri. Ilitakiwa mtueleze kwa nini tuwachague, sio kutueleza kwanini tusiwachague CCM, wakati kwa mara ya kwanza CCM imetekeleza ahadi ilizo ahidi kwa kiasi kikubwa.
 
Back
Top Bottom