Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,375
- 6,958
Bado unaonekana umepungukiwa kabisa akili, nimesema nchi, sio wananchi!Na mimi ni mwananchi sioni tatizo .....hilo umeliona wewe kwa upande wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado unaonekana umepungukiwa kabisa akili, nimesema nchi, sio wananchi!Na mimi ni mwananchi sioni tatizo .....hilo umeliona wewe kwa upande wako
Yaani nasikiliza matokeo hapa nahisi kama roho inataka kutoka.
Chama chochote cha upinzani kupata hata kiti kimoja bungeni ni ndoto labda iwe kwa kuridhisha tu wanananchi kuwa kuna demokrasia😡😡😡
Tuendelee tu kukamilisha ratiba.
Siku hizi Homosexuals wanazalishwa?Punguza povu
Jifunze kuchambua mambo, kuchochea vijana na kuwapa hamasa ya kuwa wasagaji au mashoga sio sawa.
Tofautisha kati ya wale homosexual kwa kuzaliwa na hawa aliotaka kuanza kuzalisha Tundu
Ukweli mnaujua ila mnajitoa ufahamu
Mfyuuuuu
Sema " Lazima tuwatetee Kwa sababu ni WENZETU"Culture Me lazima uwatetee kwasababu Ni wenzako
Utakukata ww... Hahahhaha pole sanIla huu msumeno utatukata wote
We subiri tu [emoji51][emoji51][emoji51]
Bobu anamuingiza chaka tu
Nimeongezea tuuu INGIENI barabarani.. TUWAVUNJEEEE miguuKwa jinsi ambavyo hamna akili MATAGA mpaka hamjuani ID mpya kila siku
Nilihisi hivyo. Ndio maana nikamwambia kuna homosexuals by birth na hiyo iko nje ya uwezo wetu. Tunachopinga sisi ni huu mkakati wa kuhamasisha wengine waingie humo mwishowe tujekosa hata wajukuu na kuishia kuwa taifa la ajabumama D huyo Ni msagaji na alishasema kwenye jukwaa la mahusiano so usishangae yeye kuwatetea kwasababu Ni wenzake
Kikwete aliwabeba kivipi?Upinzani walishauriwa vizuri, wasiingie kwenye uchaguzi kwa hii tume ya uchaguzi. Kikwete aliwabeba mnoo.
Lema amepigwa za uso kwa ngapi.?Arusha mjini imeishaaa hiyo
Huyo mama cjui ana nuksi gani, arusha mjini hvy hvy alipigwa za usoHawa GHASIA KAANGSHWA MTWARA. Ndo mkome siasa za kukariri. Ilitakiwa mtueleze kwa nini tuwachague, sio kutueleza kwanini tusiwachague CCM, wakati kwa mara ya kwanza CCM imetekeleza ahadi ilizo ahidi kwa kiasi kikubwa.
Unahalalisha wizi wa kura? Kwahiyo uongozi unapewa na viongozi wa serikali sio wananchi?Wafuasi wa Upinzani humu JF tumekuwa tukiwashauri kuwakemea viongozi kwa maneno na matendo yao maovu kwa viongozi wa Serikali, hamkusikia.
Tuliwaasa kuacha lugha ya matusi, ndio ikawa kama tumewachochea.
Tukawaambia ukweli mkaubadilisha kuwa uwongo na uwongo wenu uwe ukweli.
MWANA KULITAFUTA MWANA KULIPATA
Ni kama waombaji wengi hawakua na sifa, NEC wasingerudisha jina lake. Pumzika sasa bimkubwaHawa GHASIA KAANGSHWA MTWARA. Ndo mkome siasa za kukariri. Ilitakiwa mtueleze kwa nini tuwachague, sio kutueleza kwanini tusiwachague CCM, wakati kwa mara ya kwanza CCM imetekeleza ahadi ilizo ahidi kwa kiasi kikubwa.
Acha aendelee kuwalamba miguu aone watampeleka wapiTundu yuko brainwashed kiasi kwamba anaamini hakuna maisha bila ulaya hakuna maisha, sisi waswahili tunamwambia kwamba ulaya wanatutegemea na sisi pia tunawategemea. Lakini hiyo haitufanyi kuwa watumwa kwao
Kwani kwenye nchi yanaishi mapapai tu....nchi inaundwa na wananchi kama sisiBado unaonekana umepungukiwa kabisa akili, nimesema nchi, sio wananchi!
That's Naby Keita 😁🇹🇿💚💛💚💛💚🖐Kwani kwenye nchi yanaishi mapapai tu....nchi inaundwa na wananchi kama sisi