Mussa waukweli.
JF-Expert Member
- Feb 28, 2013
- 534
- 319
Aisee moyo wako noma.
Kwanza umeenda mbio afu ukaupiga konde.
What next?
man down....
Hahahaaa. Thanks man.
At least somebody got the drift.
Mfundishe matumizi ya smartphone labda hajui jinsi ya kudelete
Aisee moyo wako noma.
Kwanza umeenda mbio afu ukaupiga konde.
What next?
Aisee moyo wako noma.
Kwanza umeenda mbio afu ukaupiga konde.
What next?
Umeona picha wapi?
za lini hizo picha?
umemuuliza?
mna umri gani?
Sasa picha za zamani zinakuhusu nini?
Kutokujiamini ni ugonjwa mbaya sana...