Inauma sana, nimeona picha za mpenzi wangu akiwa na mwanaume wake wa zamani kimahaba

Inauma sana, nimeona picha za mpenzi wangu akiwa na mwanaume wake wa zamani kimahaba

Mpenzi wangu nampenda sana ila hili limenifanya nishushe upendo wangu kwake na kutomuamini japo alinambia waliachana. Nimeona picha zake wakiwa na boyfriend wake wa zamani huku wamekaa kimahaba imeniuma sana.

Mapigo ya moyo yameenda mbio kuliko kawaida ila nikapiga moyo konde huku nikuwa na mawazo lukuki akilini baadhi ya mawazo ninayoyafiria ni kuachana nae.

Nifanyaje kwa hili wana JF maana nahisi kama bado wako pamoja kwa kutunza picha za mwanaume wake wa zamani.
Pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom