mkhai sinda
Member
- Jun 3, 2015
- 37
- 13
Na ww nenda kwa demu wako wa zamani upige naye picha umuoneshe demu wako wa sahv ili muwe ngoma droo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee moyo wako noma.
Kwanza umeenda mbio afu ukaupiga konde.
What next?
Sina x.ahaaa..jitahd na ww u dlete za X wako... new guy asje piga moyo konde...
Mpenzi wangu nampenda sana ila hili limenifanya nishushe upendo wangu kwake na kutomuamini japo alinambia waliachana. Nimeona picha zake wakiwa na boyfriend wake wa zamani huku wamekaa kimahaba imeniuma sana.
Mapigo ya moyo yameenda mbio kuliko kawaida ila nikapiga moyo konde huku nikuwa na mawazo lukuki akilini baadhi ya mawazo ninayoyafiria ni kuachana nae.
Nifanyaje kwa hili wana JF maana nahisi kama bado wako pamoja kwa kutunza picha za mwanaume wake wa zamani.
Kusamehe na kuvuta kasi ya mashambulizi kwa upendo mpya
Umeona picha wapi?
za lini hizo picha?
umemuuliza?
mna umri gani?
Aisee moyo wako noma.
Kwanza umeenda mbio afu ukaupiga konde.
What next?