Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka konde alitoshi piga na ngumi kabisa uyo moyo na kama kuna kitu kizito pembeni yako chukuwa shindilia tena kwenye uwo moyo wako?sababu uyo moyo wako unamatatizo ya kupenda bila kujali ni kitu gani unapenda sasa ilo ni tatizo,wewe mwenyewe jibu unalo utakiwi kuomba ushauri kaka kaa chini jiulize je uyo dem kweli anakupenda? Jibu utapata na kama hana kupenda basi jaribu kujua izo picture ni za kipindi gani? Kisha jifananishe wewe na uyo mpenzi wake wa zamani kimaisha na tabia uyo dem wako atakusaidia ilo kujua tabia ya uyo jamaa wake wa zamani na maisha yake kisha jaribu kujua kwanini waliachana? Na nani alimuacha mwenzake?kisha jaribu kujua uyo dem family yake ni ya haina gani? Na uyo dem elemu yake ya shule iko vp? Na amekulia maisha gani na tabia yake ni ya aina gani na anapenda maisha ya aina gani na ujitambue wewe una maisha gani? Na kutokana na maisha yako unaitaji mwanamke wa aina gani ukiweza kujua ayo yote basi utajua uyo dem anakupenda au la sasa kunjoa au kusuka ni mamuzi yako usitushirikishe kwenye mamuzi yako na dem wako ukatutia zambi kwenye mwezi mtukufu.
Kumbe picha ya zamani sasa wewe unaumia nini?Utakufa kwa presha we kula mzigo jombaa na ukiona picha inakukera sana itupe.
Usipende kufuatilia yaliyopita.mi wangu nilimuuliza kuhusu mahusiano yake yalitopita akaniambia mbona mimi sijakuliza mahusiano yako ya awali.nikafunga mdomo wangu.
ndio maana siku hizi hatutoi ma hardcopy ya picha.... just in phone gallery in a password folder.... Hahahaha just to avoid unnecessary problems
Aisee moyo wako noma.
Kwanza umeenda mbio afu ukaupiga konde.
What next?
Teh Teh wewe ni kichaa daaa
Wee unapagawa kuona picha. . . Watu wamewakuta live live wanagegedwa na wamekomaa nao hadi na ndoa wmefunga.
Komaa kijana!