Inauma sana, nimeona picha za mpenzi wangu akiwa na mwanaume wake wa zamani kimahaba

Kumbe picha ya zamani sasa wewe unaumia nini?Utakufa kwa presha we kula mzigo jombaa na ukiona picha inakukera sana itupe.
 
wewe hukuwai kupiga na wako wa zaman kama ivo unayo haki ya kuumia ila take easy
 
Kwani ujui mke mwema utoka kwa bwana! Huyo ndio mwema sasa,
 
Pole sana mkuu changamoto tu hzo katika mapenz kama ni wako ni wako 2. Cha muhmu ni umpoteze hyo memory yke na hz X bf amsahau kabisa. Ukisema uachane nae utaachana na wengi we jiamini kata hyo connection yao kwa namna yoyote mfanye akupende sna asiwaze ya zamani"
 

Duuuh! Kwa haya maswali lazima jamaa apige moyo konde kwa mara ya pili
 
bado anampenda sana x wake,itakua hawakupenda kuachana na labda wewe ndie uliekua chanzo cha wao kuachana akawa na wewe tu kutuliza Maumivu ila penzi lao limechipuka tena!....
 
nakushauri uuambie moyo wako ufanye kazi yake ya kusukuma damu
hiyo nyingine si ya kwake
 
Unachotakiwa kuhakikisha anamsahau na kuchoma picha vinginevyo hizo picha zitakuwepo hapo na zitakuumiza kila mara
 
ndio maana siku hizi hatutoi ma hardcopy ya picha.... just in phone gallery in a password folder.... Hahahaha just to avoid unnecessary problems
 
ndio maana siku hizi hatutoi ma hardcopy ya picha.... just in phone gallery in a password folder.... Hahahaha just to avoid unnecessary problems

And you think thats secure? Au security is not an issue?
 
Du wewe jamaa! Kukuta picha tu za watu wamekaa mkao wa mahaba unakasirika kiasi hicho? Je ungemkuta na picha emeshikilia muhogo anausindikiza wavuni si ndo ungezimia kabisa? Tena hawa mademu wa cku hiz ndo blaa kabisa maana wanatumia mitandao yoooote hadi ule wa makunduchi huku wakipiga picha zao (video + still pictures) na kuzipost kwenye ule mtandao mchafu unaoitwa rahatupu.blogspot.com.
 
Muulize bila kupanic, why kaziweka hizo picha. Ikiwezekana mwambie naziomba bila kumwambia unataka za nn, the ucheki reaction yake. From there utajua kama bado wako wote au wameshaachana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…