Inauma sana, wezi walaaniwe. Wamenirudisha nyuma sana

Inauma sana, wezi walaaniwe. Wamenirudisha nyuma sana

Pole sana sana, naelewa unachisema na kukiptia Mwezi wa nane tarehe 15 walinifanyia ukatili huo, waliniibia Laptop na simu mbili, wala simu sio tatizo lakini Laptop ilikua na DOCUMENTS muhimu sana snaa, miongoni mwa documents hizo ni Consultancy ambayo nilikua nimeshamaliza Inception Report, Desk Review na nilikua namalizia kuandaa tools kwa ajili ya data collection. Kinachoniuma ni kwamba hizi ndio deliverable zinazonifanya nilipwe, yaani una/submit unalipwa per deliverable....nilitamani dunia isimame. Yaani nadaiwa kazi ya watu na sina hata pa kuanzia tena......Pole sana sana
 
Pole sana mkuu, ni wengi tumeumizwa na wezi, mwenyewe nimetoka kuibiwa mwezi uliopita na nikaripoti polisi hakuna msaada wowote!
Ahsante na pole pia, polisi hao sitaki hata kuwasikia kwanza watakuzungusha tu nakukuzidishia maumivu. Nilijifunza kipindi Mdada alivyotapeliwa.Wale matapeli walimuachia smartphone. Nikaripoti polisi wakaichukua ile simu na sikuipata hadi Leo hii na hakuna chochote kilichofanyika zaidi njoo kesho njoo kesho hadi nikakata tamaa.Afadhali wangenipatia ile simu ingepunguza hasara kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana kaka , kikubwa ni kujipanga upya kama upo kwako nikupe wazo la kutengeneza mtaji , tafuta mayai ya kienyeji kama .....30 ambayo yatakugharimu kama sh 15000/- tu baada ya hapo nitagute nikueleze namna rahic yabkutengeneza incubator ya kutotoresha mayai hayo bila gharama kubwa baada ya hapo utaanza na vifaranga 30 , ukiwapa vyakula pamoja na booster ya kukua haraka ....ukiwauza unapata mtaji wa kukurudisha kwenye ramani

Sent using i phone x
Fursa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom