Kung fu panda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 748
- 785
pole sana ndugu,pambana utasimama tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes, sema ningumu sana mkuu ukiangalia jinsi nilipoupata mtaji sielewi nawezaje kufanikisha tena nikiwa sina dhamana ya kuelewekaStart again...time is a best teacher
Ahsante mkuu, ningumu sana kuamini unaweza ukadata hivihivipole sana ndugu,pambana utasimama tena
Waliingiaje?Ndio, nikiwa namaanisha wameiba kila kitu chenye thamani mule yaani wameamisha kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni mistake namba moja,Kama hakukua na mlinzi,ilitakiwa uwe unalala humoHakukuwa na ulinzi siunajua mtaji wenyewe ndo tulikua tunaujaza jaza, OK ahsante kwa ushauri nitajaribu kuufanyia kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo mi Till Bado unaweza kuitumia kusimama tenaMkuu hata Mimi najilaumu, nimebakia na mitill(line) hapa naiangalia na kupata hasira
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante na pole pia, polisi hao sitaki hata kuwasikia kwanza watakuzungusha tu nakukuzidishia maumivu. Nilijifunza kipindi Mdada alivyotapeliwa.Wale matapeli walimuachia smartphone. Nikaripoti polisi wakaichukua ile simu na sikuipata hadi Leo hii na hakuna chochote kilichofanyika zaidi njoo kesho njoo kesho hadi nikakata tamaa.Afadhali wangenipatia ile simu ingepunguza hasara kidogoPole sana mkuu, ni wengi tumeumizwa na wezi, mwenyewe nimetoka kuibiwa mwezi uliopita na nikaripoti polisi hakuna msaada wowote!
Sawa mkuu nilikosea kwa hiliHi
Hiyo ni mistake namba moja,Kama hakukua na mlinzi,ilitakiwa uwe unalala humo
FursaPole sana kaka , kikubwa ni kujipanga upya kama upo kwako nikupe wazo la kutengeneza mtaji , tafuta mayai ya kienyeji kama .....30 ambayo yatakugharimu kama sh 15000/- tu baada ya hapo nitagute nikueleze namna rahic yabkutengeneza incubator ya kutotoresha mayai hayo bila gharama kubwa baada ya hapo utaanza na vifaranga 30 , ukiwapa vyakula pamoja na booster ya kukua haraka ....ukiwauza unapata mtaji wa kukurudisha kwenye ramani
Sent using i phone x
Kivipi mkuu? kuchanganyikiwa huku hadi unaiona mitill kama inamdomo inakukejeli vileHiyo mi Till Bado unaweza kuitumia kusimama tena