Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
hata wangekuwa ni wakristo amna sehemu kwenye biblia imeandikwa lazima mtu atolewe mahari kiufupi kama inamuuma na yeye atolewe mahari kufidia gap la dada yake kuto holewa kwa mahariNyie ni dini gani tuanzie hapa
Kama ni wasilam nyie kama ndugu swala la mahari ya ndugu yenu haliwahusu ni yeye na mumewe hata angesema hataki mahari hamuwez mlazimisha apokee