Inaumiza sana: Dada kaolewa bila mahari, yaani kizembe tu

Inaumiza sana: Dada kaolewa bila mahari, yaani kizembe tu

Ndo matatizo ya kuvuta hisia za mikunjo... hapo kila ukivuta hisia ya anavyokunjwa kunjwa na msela, ndo nongwa zinaanza hapo!

Halafu acha kumuita shemeji yako "fala"!
Nitoke nje ya mada kidogo mkuu, nasikia wanaume/wababa wa kichaga zamani walikua hawahudhurii harusi za mabinti zao. Ilikua inaonekana ni jambo la aibu eti baba unamsindikiza au unaenda kumuaga binti yako wakati huko aendako unajua kabisa kua anaenda kukunjwa
Naweza nikakubaliana na hoja yako mkuu jamaa atakua nae kavuta hisia za mikunjo
 
Haya mambo mengine sikia tu kwa watu.sisi tumehangaika kumsomesha sista kamaliza chuo kwa mbinde. Mzee wetu alifariki na tunashukuru maana angekuwepo wallah angemnyonya dada macho mpaka yachomoke toka kwenye socket.

Sister jana kaolewa na fala mmoja tu mtaani bure kabisa. Yaani alichoambulia kwa jamaa ni kupewa mimba tu then kamaa kavuta mzigo. Masheikh wameenda kusoma dua kumkabidhi jamaa mke; eti ndoa ya mkeka.

Sister unaolewa kwa mimba tu? Baba sijui angekufanya nini, unazidi mtesa tu huko aliko.

Unaolewa kwa mjegedo tu? Ina maana wengine hawapati kitu? Umeumiza sana ndugu zako.
Dada yako kapenda mjegejo acha achapwe nao ukipenda kapige chabo akibinuliwa
 
kutoa mahari ni ufala sana. yaani madem wa bure waliochokeana mijini Na vijijin no lwengi sana . tunawapangisha vyumba miezi sita najilia tu
 
Acha kumlisha maneno marehemu mzee wako..eti angekuwepo angemnyonya macho..kwani mkuu ulitegemea mahali ili upate mtaji wa biashara?
Pambana na hali yako dada ndio hivyo kaolewa bado wewe kuoa na ukienda wenzio watakudai mahari ya pesa nyingi tu. Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi.
 
kaka pole sana mambo ya Wazungu yametutoa kwenye reli tunaiga kila kitu ,mahari ni heshima hata nikioa mahari ni lazma nitoe ,watu wameletewa elimu za magharibi zimewapotosha ,angalia ndoa za leo mahari hamna heshima hamna wala utaratibu hakuna,kuigaiga kumetufanya tumekosa hata vazi la taifa,,,tutaanza kuoa kwa mikataba
 
Tufanye muoaji katoa mahari.Ni haki ya dada ako,wewe haikuhusu hata kidogo mzeeee.Au akitoa mahari unaenda na sista kusaidia kuosha vyombo???
 
Kuna watu/makabira mengine ovyo kabisa, kuna jamaa amemchumbia mzaramo mmoja hv, sasa huyo jamaa kila akija kusalimia ukwen basi shida zao zote wanamalizia kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ijue Dini yako ndio uje kulalamika hapa. Mahari ni makubaliano Kati ya mume na mke na mahari si ya wazazi, makaka , wala mashangazi ni ya muolewaji mwenyewe hata km ni bure wamekubaliana wenyewe haiwahusu.
 
Wewe jamaa hebu acha ujinga aysee
Hebu ushukuru huyo jamaa amekubali huo ujauzito na kumuoa dada yako
Kuna wengine hutumia na kuwatelekeza then mzigo hubaki kwa familia.
Halafu ukumbuke marehemu baba yako kumsomesha dada yako alikua anatimiza wajibu wake kama mzazi hivyo usilazimishe malipo kama vile hizo pesa mlimkopesha huyo dada yenu
 
Haya mambo mengine sikia tu kwa watu.sisi tumehangaika kumsomesha sista kamaliza chuo kwa mbinde. Mzee wetu alifariki na tunashukuru maana angekuwepo wallah angemnyonya dada macho mpaka yachomoke toka kwenye socket.

Sister jana kaolewa na fala mmoja tu mtaani bure kabisa. Yaani alichoambulia kwa jamaa ni kupewa mimba tu then kamaa kavuta mzigo. Masheikh wameenda kusoma dua kumkabidhi jamaa mke; eti ndoa ya mkeka.

Sister unaolewa kwa mimba tu? Baba sijui angekufanya nini, unazidi mtesa tu huko aliko.

Unaolewa kwa mjegedo tu? Ina maana wengine hawapati kitu? Umeumiza sana ndugu zako.
Kwanza utambue mahari sio gharama za malezi au shule alosomeshwa eti inarudishwa sjui wanasemaga compensations....hiyo ni kama umeuza utu wa mtu shost mahari ni zawadi tu kwa wazazi naona umepanic sana
 
Haya mambo mengine sikia tu kwa watu.sisi tumehangaika kumsomesha sista kamaliza chuo kwa mbinde. Mzee wetu alifariki na tunashukuru maana angekuwepo wallah angemnyonya dada macho mpaka yachomoke toka kwenye socket.

Sister jana kaolewa na fala mmoja tu mtaani bure kabisa. Yaani alichoambulia kwa jamaa ni kupewa mimba tu then kamaa kavuta mzigo. Masheikh wameenda kusoma dua kumkabidhi jamaa mke; eti ndoa ya mkeka.

Sister unaolewa kwa mimba tu? Baba sijui angekufanya nini, unazidi mtesa tu huko aliko.

Unaolewa kwa mjegedo tu? Ina maana wengine hawapati kitu? Umeumiza sana ndugu zako.
We jamaa una elimu gani kichwani? Inamaana hata elimu dunia tu huna? Sasa dadaako ameolewa we unachukia.
Au ulitaka dadaako aolewe na mwana wa mfalume?
Acha waoane maisha yakiwa poa atawajali ndugu zenu.
Maana ulivoongea inaonekana kabisa huyo shemeji yako ni maskini sasa ww ulitaka dadaako aolewe na tajiri ili na wewe upate mteremko wa maisha. Pambana kijana mda bado unao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi shukuru kwa hilo maana hiyo itampata confidence sana dada yako akiwa ndani ya ndoa yake.

Kitu cha bure ni kama zawadi lazima uiheshimu nakuhakikishia jamaa hawezi kumtesa maana anajua mahari ya kuoa mwingine hana[emoji12]
 
Back
Top Bottom