Inaumiza sana: Dada kaolewa bila mahari, yaani kizembe tu

Inaumiza sana: Dada kaolewa bila mahari, yaani kizembe tu

Nyie ni dini gani tuanzie hapa

Kama ni wasilam nyie kama ndugu swala la mahari ya ndugu yenu haliwahusu ni yeye na mumewe hata angesema hataki mahari hamuwez mlazimisha apokee
Mahari ni jambo la lazima
tuseme
Mwanamke akisema hata Embe mviringo ni mahari yake,Basi imepita hiyo

lkn
Mahari lazima iwepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani dadako ni asset? Kwanini wewe mwanaume mzima usifanye kazi usaidie familia?

Umetutia aibu sana wanaume wenzako.. Mi nna wadogo wawili wakike tena ni wazur kuliko maelezo ila sijawah kuwaza hata mambo ya mahari

Acha uboya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana unaacha kufanya kazi kutafuta pesa zako we unangojea mahari ya dada.
 
Ninakubaliana na mleta mada, jamii imebadilika na ngono kabla ya ndoa sasa ni kitendo cha kawaida kwa wengi.

Wao kama familia walikuwa na fahari dada yao amemaliza chuo. Mategemeo yao makubwa ilikuwa kupokea barua ya posa na kupanga mahari hatimae kucheza harusi na kumuaga dada kwa heshima.
 
Nitamlipa mahali yeye mwenyewe, wewe shemeji unalalamika nini wakati Dada yako kapenda mwenyewe na halalamiki
 
Ninakubaliana na mleta mada, jamii imebadilika na ngono kabla ya ndoa sasa ni kitendo cha kawaida kwa wengi.

Wao kama familia walikuwa na fahari dada yao amemaliza chuo. Mategemeo yao makubwa ilikuwa kupokea barua ya posa na kupanga mahari hatimae kucheza harusi na kumuaga dada kwa heshima.
Mpaka tufike 2020 watu wataolewa kwa maneno tu. Tuko kwenye kipindi cha ukata sasa ivi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukidadavua sana , mambo ya mahari yamepitwa na wakati. Inabidi iwe ni "symbolic" tu.
 
Haya mambo mengine sikia tu kwa watu.sisi tumehangaika kumsomesha sista kamaliza chuo kwa mbinde. Mzee wetu alifariki na tunashukuru maana angekuwepo wallah angemnyonya dada macho mpaka yachomoke toka kwenye socket.

Sister jana kaolewa na fala mmoja tu mtaani bure kabisa. Yaani alichoambulia kwa jamaa ni kupewa mimba tu then kamaa kavuta mzigo. Masheikh wameenda kusoma dua kumkabidhi jamaa mke; eti ndoa ya mkeka.

Sister unaolewa kwa mimba tu? Baba sijui angekufanya nini, unazidi mtesa tu huko aliko.

Unaolewa kwa mjegedo tu? Ina maana wengine hawapati kitu? Umeumiza sana ndugu zako.
Kwani MAHARI YA MKE? AU YAKO? na kama mahari ya DADA YAKO,,wewe unahoji ya nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo mengine sikia tu kwa watu.sisi tumehangaika kumsomesha sista kamaliza chuo kwa mbinde. Mzee wetu alifariki na tunashukuru maana angekuwepo wallah angemnyonya dada macho mpaka yachomoke toka kwenye socket.

Sister jana kaolewa na fala mmoja tu mtaani bure kabisa. Yaani alichoambulia kwa jamaa ni kupewa mimba tu then kamaa kavuta mzigo. Masheikh wameenda kusoma dua kumkabidhi jamaa mke; eti ndoa ya mkeka.

Sister unaolewa kwa mimba tu? Baba sijui angekufanya nini, unazidi mtesa tu huko aliko.

Unaolewa kwa mjegedo tu? Ina maana wengine hawapati kitu? Umeumiza sana ndugu zako.
Kabila gani wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmh. Sasa mahari inayokupigisha kelele labda ingetolewa na wewe ungepata na je ingekusaidia kwenye nini?

Kikubwa shukuru Dada yako kashatoka kwenye ule upande ambao wengi huwa mnaudharau.
 
Nyie ni dini gani tuanzie hapa

Kama ni wasilam nyie kama ndugu swala la mahari ya ndugu yenu haliwahusu ni yeye na mumewe hata angesema hataki mahari hamuwez mlazimisha apokee
Mtoto asiye na haki ya kumrithi baba yake, Sad
 
Kwani hiyo mahari haiwezi kulipwa baadae? Huenda Shemeji yako ana mpango wa kulipa baadaye.
 
Back
Top Bottom