katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
Kama wetu ndio kachukuliwa kama vile embe limedondoka chini ya mwembe makapuku ya kapata nilimuangalia kisa k ni yake sio yetu .Haya mambo mengine sikia tu kwa watu.sisi tumehangaika kumsomesha sista kamaliza chuo kwa mbinde. Mzee wetu alifariki na tunashukuru maana angekuwepo wallah angemnyonya dada macho mpaka yachomoke toka kwenye socket.
Sister jana kaolewa na fala mmoja tu mtaani bure kabisa. Yaani alichoambulia kwa jamaa ni kupewa mimba tu then kamaa kavuta mzigo. Masheikh wameenda kusoma dua kumkabidhi jamaa mke; eti ndoa ya mkeka.
Sister unaolewa kwa mimba tu? Baba sijui angekufanya nini, unazidi mtesa tu huko aliko.
Unaolewa kwa mjegedo tu? Ina maana wengine hawapati kitu? Umeumiza sana ndugu zako.
Mwili wake sio kwetu napia ukiangalia nyie waislamu ndio mnapenda sana hivyo.
Mnadai mapenzi ya kweli hayalipwi.
Nibure.
Free kumtoa mwanamke ila sisi wakristo ndio hatutakagi hayoo.
Mnamapepo yanawafanya wadada wanawakubali mnaenda nao kuwatesa nakuwageuza kama nini.
Haya basi sasa wako huko sijui hata wanaishije kamtuma hata kututenga hataki kutuona sisi ndugu zake yupo na huyo mumewe na hilo lishenzi type.