Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,911
- 3,016
Mahari ni jambo la lazimaNyie ni dini gani tuanzie hapa
Kama ni wasilam nyie kama ndugu swala la mahari ya ndugu yenu haliwahusu ni yeye na mumewe hata angesema hataki mahari hamuwez mlazimisha apokee
Kwa majibu ya aina hiiKwani dadako ni asset? Kwanini wewe mwanaume mzima usifanye kazi usaidie familia?
Umetutia aibu sana wanaume wenzako.. Mi nna wadogo wawili wakike tena ni wazur kuliko maelezo ila sijawah kuwaza hata mambo ya mahari
Acha uboya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka tufike 2020 watu wataolewa kwa maneno tu. Tuko kwenye kipindi cha ukata sasa ivi,Ninakubaliana na mleta mada, jamii imebadilika na ngono kabla ya ndoa sasa ni kitendo cha kawaida kwa wengi.
Wao kama familia walikuwa na fahari dada yao amemaliza chuo. Mategemeo yao makubwa ilikuwa kupokea barua ya posa na kupanga mahari hatimae kucheza harusi na kumuaga dada kwa heshima.
Kwani MAHARI YA MKE? AU YAKO? na kama mahari ya DADA YAKO,,wewe unahoji ya nn?Haya mambo mengine sikia tu kwa watu.sisi tumehangaika kumsomesha sista kamaliza chuo kwa mbinde. Mzee wetu alifariki na tunashukuru maana angekuwepo wallah angemnyonya dada macho mpaka yachomoke toka kwenye socket.
Sister jana kaolewa na fala mmoja tu mtaani bure kabisa. Yaani alichoambulia kwa jamaa ni kupewa mimba tu then kamaa kavuta mzigo. Masheikh wameenda kusoma dua kumkabidhi jamaa mke; eti ndoa ya mkeka.
Sister unaolewa kwa mimba tu? Baba sijui angekufanya nini, unazidi mtesa tu huko aliko.
Unaolewa kwa mjegedo tu? Ina maana wengine hawapati kitu? Umeumiza sana ndugu zako.
Umuhimu wa mahari ni upi mkuu????We acha tuu hujui sister kapitia magumu mangapi kutoka Kwa wanaume mpaka akaona Bora abebe hiyo mimba ajitulize japo kua mahari ni muhimu Ila jaribuni kumuelewa Na kumsupport kwenye mawazo yake Na maamuzi aliyochukua
Kabila gani wewe?Haya mambo mengine sikia tu kwa watu.sisi tumehangaika kumsomesha sista kamaliza chuo kwa mbinde. Mzee wetu alifariki na tunashukuru maana angekuwepo wallah angemnyonya dada macho mpaka yachomoke toka kwenye socket.
Sister jana kaolewa na fala mmoja tu mtaani bure kabisa. Yaani alichoambulia kwa jamaa ni kupewa mimba tu then kamaa kavuta mzigo. Masheikh wameenda kusoma dua kumkabidhi jamaa mke; eti ndoa ya mkeka.
Sister unaolewa kwa mimba tu? Baba sijui angekufanya nini, unazidi mtesa tu huko aliko.
Unaolewa kwa mjegedo tu? Ina maana wengine hawapati kitu? Umeumiza sana ndugu zako.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama ningejua shemeji yupo hivi nsingeruhusu Dada yangu aolewe naye. Nataka nivunje ndoa yao. - JamiiForums
Umeshaondoka Kwa shemeji yako au bado unawapikia..[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto asiye na haki ya kumrithi baba yake, SadNyie ni dini gani tuanzie hapa
Kama ni wasilam nyie kama ndugu swala la mahari ya ndugu yenu haliwahusu ni yeye na mumewe hata angesema hataki mahari hamuwez mlazimisha apokee