Inaumiza sana: Dada kaolewa bila mahari, yaani kizembe tu

Kwan sh. Ngap ulitaka? Acheni nile mzigo wa bureeee shemeji yangu

sent from this unknown device
 
Stori ya uongo hii,kwanza imejaa mzaha sana. Hiyo ndoa ya mkeka yaani ilifungishwa pasipo ridhaa ya upande Wa binti? Manake unavyoongea ni kama unawalaumu masheikh kwa kufungisha ndoa ya lazima na bure pasipo ninyi kuridhia. Nnachojua wanaopush ufungwaji ndoa za mkeka ni upande Wa kikeni ambao ni wenu na si kiumeni,sasa unalalamika nini?
 
Mahari haina umuhimu,cha muhimu ni undugu uendelee na utatuzi wa changamoto za kimaisha na kiafya uwepo
 
Mkuu apia kama ni kweli
Halafu naomba niwe rafiki yako

Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
 
Mahari ya dada yako inakusaidia ni j, cha muhimu waombee amani na updndo katika ndoa yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😁 😁 Poleni sana ila jamaa ndio amesha okota kifurushi cha maisha nyie kazeni t**o mpate hela yenu sio mtegemee dada....
 
Kwani ni ng'ombe hiyo kwamba ulitunza uiuze
 
njoo ni kuamishie wewe mimba.shukuru dada yako kaolewa ange kuwa single mother.shwainiiii anta dada dume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza nikwambie tu hakuna ndoa hapo, watazini maisha yao yote au hadi wanaachana. Huyo Sheikh aliyeozesha ni Sheikh Ubwabwa si bure, hajui kabisa sheria za dini.

Kiislamu mwanamke mjamzito hatakiwi kuolewa hadi ajifungue, naona siku hizi watu wanapindisha mambo ili mtoto azaliwe ndoani tu. Kitu ambacho hakiruhusiwi kabisa.

Kama mnafuata uislamu, hiyo ndoa ni haramu
 
nyinyi ndio hutegemea kutoka kimaisha kwa mahari za dada zao!
 
Ndo matatizo ya kuvuta hisia za mikunjo... hapo kila ukivuta hisia ya anavyokunjwa kunjwa na msela, ndo nongwa zinaanza hapo!

Halafu acha kumuita shemeji yako "fala"!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…