Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Nipo nyuma yako nakaziaMmmh. Sasa mahari inayokupigisha kelele labda ingetolewa na wewe ungepata na je ingekusaidia kwenye nini?
Kikubwa shukuru Dada yako kashatoka kwenye ule upande ambao wengi huwa mnaudharau.
Nitoke nje ya mada kidogo mkuu, nasikia wanaume/wababa wa kichaga zamani walikua hawahudhurii harusi za mabinti zao. Ilikua inaonekana ni jambo la aibu eti baba unamsindikiza au unaenda kumuaga binti yako wakati huko aendako unajua kabisa kua anaenda kukunjwaNdo matatizo ya kuvuta hisia za mikunjo... hapo kila ukivuta hisia ya anavyokunjwa kunjwa na msela, ndo nongwa zinaanza hapo!
Halafu acha kumuita shemeji yako "fala"!
Mbona hamuendi sasa[emoji4]Huu ndo mwezi
pekee ambao Hata
ukienda na buku
kama mahari
unapewa mke
Dada yako kapenda mjegejo acha achapwe nao ukipenda kapige chabo akibinuliwaHaya mambo mengine sikia tu kwa watu.sisi tumehangaika kumsomesha sista kamaliza chuo kwa mbinde. Mzee wetu alifariki na tunashukuru maana angekuwepo wallah angemnyonya dada macho mpaka yachomoke toka kwenye socket.
Sister jana kaolewa na fala mmoja tu mtaani bure kabisa. Yaani alichoambulia kwa jamaa ni kupewa mimba tu then kamaa kavuta mzigo. Masheikh wameenda kusoma dua kumkabidhi jamaa mke; eti ndoa ya mkeka.
Sister unaolewa kwa mimba tu? Baba sijui angekufanya nini, unazidi mtesa tu huko aliko.
Unaolewa kwa mjegedo tu? Ina maana wengine hawapati kitu? Umeumiza sana ndugu zako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe ndiye huyu aliyesema anakasirika kuona shemeji yake akikimbizana na dada yake?Kama ningejua shemeji yupo hivi nsingeruhusu Dada yangu aolewe naye. Nataka nivunje ndoa yao. - JamiiForums
Umeshaondoka Kwa shemeji yako au bado unawapikia..[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza utambue mahari sio gharama za malezi au shule alosomeshwa eti inarudishwa sjui wanasemaga compensations....hiyo ni kama umeuza utu wa mtu shost mahari ni zawadi tu kwa wazazi naona umepanic sanaHaya mambo mengine sikia tu kwa watu.sisi tumehangaika kumsomesha sista kamaliza chuo kwa mbinde. Mzee wetu alifariki na tunashukuru maana angekuwepo wallah angemnyonya dada macho mpaka yachomoke toka kwenye socket.
Sister jana kaolewa na fala mmoja tu mtaani bure kabisa. Yaani alichoambulia kwa jamaa ni kupewa mimba tu then kamaa kavuta mzigo. Masheikh wameenda kusoma dua kumkabidhi jamaa mke; eti ndoa ya mkeka.
Sister unaolewa kwa mimba tu? Baba sijui angekufanya nini, unazidi mtesa tu huko aliko.
Unaolewa kwa mjegedo tu? Ina maana wengine hawapati kitu? Umeumiza sana ndugu zako.
We jamaa una elimu gani kichwani? Inamaana hata elimu dunia tu huna? Sasa dadaako ameolewa we unachukia.Haya mambo mengine sikia tu kwa watu.sisi tumehangaika kumsomesha sista kamaliza chuo kwa mbinde. Mzee wetu alifariki na tunashukuru maana angekuwepo wallah angemnyonya dada macho mpaka yachomoke toka kwenye socket.
Sister jana kaolewa na fala mmoja tu mtaani bure kabisa. Yaani alichoambulia kwa jamaa ni kupewa mimba tu then kamaa kavuta mzigo. Masheikh wameenda kusoma dua kumkabidhi jamaa mke; eti ndoa ya mkeka.
Sister unaolewa kwa mimba tu? Baba sijui angekufanya nini, unazidi mtesa tu huko aliko.
Unaolewa kwa mjegedo tu? Ina maana wengine hawapati kitu? Umeumiza sana ndugu zako.
hata wangekuwa ni wakristo amna sehemu kwenye biblia imeandikwa lazima mtu atolewe mahari kiufupi kama inamuuma na yeye atolewe mahari kufidia gap la dada yake kuto holewa kwa mahari
Sent using Jamii Forums mobile app